Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

Ngoja nikujibu Humbly kabisa...
Kila Jibu nalotoa linatokana na akili na Swali la Muulizaji..

Na naomba nikuulize na wewe hicho kipimo cha akili za watu Ulikisomea wapi? Na Unatumia njia gani?

Gen-z Na millenial mnamatatizo sana 😅😅
Shauri yako..
 
Ana miaka 35, alizaliwa June 7 1988

Alimaliza form 4 akiwa na miaka 15

Alimaliza la 7 akiwa na miaka 11

Alianza la kwanza akiwa na miaka 5

Kwakuwa alipata elimu ya awali nje, tumpe a benefit of doubt.
Inawezekana kabisa.
 
Japo mie ni fan wakee mkubwaaa, ila kuhusu ukipanga hapana.
Ila Akili na exposure anavyoo.
 
Jokate Mwegelo ni I.11 pale St Anthony Mbagala. Jitahidi uwe unafurahia mafanikio ya wengine.
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D
Ilikuaje akaenda Loyola HGL? jamani leteni matokeo halisi ya Jocate.
 
Ilikuaje akaenda Loyola HGL? jamani leteni matokeo halisi ya Jocate.
Hayo ndo matokeo halisi. Labda alikuwa na wito mkubwa kwenye mambo ya sanaa.. pia hizi familia za kishua huwa sio kama zetu kwamba unaenda tu chuo kisa umefaulu. Huwa wana mahesabu yao..
 
Hayo ndo matokeo halisi. Labda alikuwa na wito mkubwa kwenye mambo ya sanaa.. pia hizi familia za kishua huwa sio kama zetu kwamba unaenda tu chuo kisa umefaulu. Huwa wana mahesabu yao..
Mmmh hadi nione vyeti halisi vya jocate ndo nitaamini.
 
Back
Top Bottom