Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Mbwa wa mwenyekiti wrweWewe mvuta bangi ukikaa kimya ni busara pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa wa mwenyekiti wrweWewe mvuta bangi ukikaa kimya ni busara pia
Inaelekea ilikuwa kilaza sana.....Unaonaje wakati mwingine ukakaa kimya tu badala ya kuongea utumbo?
Siwezi kumuita kipanga mtu anayeshindwa hata kutoa c mathematics o level aiseeHiyo A ya chemistry na Biology unazichukuliaje?
Hahaha 😅😅😅Siwezi kumuita kipanga mtu anayeshindwa hata kutoa c mathematics o level aisee
Hujalazimishwa kumuita hivyo.Siwezi kumuita kipanga mtu anayeshindwa hata kutoa c mathematics o level aisee
Hapa JF wote tulikuwa na A tupu.. Great thinkers. 😄😄Hahaha 😅😅😅
Au A ya Bios na A ya physics o level ni ya kukosa kweli?
Div II.19 ndio ukipanga mkuu?
Ili uwe na hiyo Div kwa wakati huo, wastani mzuri wa grade walau ulipaswa kuwa hivi B B C C C C C, hapo B = 61 - 80, C = 60 kwenda sijui hadi ngapi huko chini nimesahau ila kama sikosei ni 41. Hapo kama kuna somo alipata A basi kuna mengine alipata D
Kipanga wa chuoHivi mwenye Div 2.19 akapata 4.4GPA akawa lecturer
Kipanga wa O levelHalafu mwenye 1.10 akapata 3.5GPA
Kipanga wa Chuo
Kipanga wa O level
Sawa DadaMbwa wa mwenyekiti wrwe
SawaMbwa wa mwenyekiti wrwe
Kibongobongo anayefaulu vizuri mitihani ya NECTA anajulikana zaidi na kupewa hadhi.Hivi mwenye Div 2.19 akapata 4.4GPA akawa lecturer
Halafu mwenye 1.10 akapata 3.5GPA
YUPI NI KIPANGA??
ChaiWakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM.
Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu mwaka 2003 ambao pia ni mwaka ambao Komredi Jokate Mwegelo alihitimua.
Hawa mabinti wadogo wawili walifanya vizuri sana kwenye mitihani yao. Inajulikana Jokate alipasua division one kali sana pale St Anthony Mbagala ila kwa Vanesa imekuwa haisemwi sana kuhusu elimu yake. Ukiangalia matokeo ya Vanesa form IV utaona alipiga Division II.19 (Tamka Two ya 19)
CIV-D HIS-C GEO-C KIS-C ENG-B FRE-C PHY-C CHE-C BIO-B BAS-D
huku akiwa pia kafanya vizuri masomo ya sayansi kama ilivyokuwa kwa Jokate.
Sijui zaidi kuhusu nini kiliendelea baada ya matokeo hayo ya form IV ila itoshe kusema kuwa Vanessa alikuwa kipanga shuleni. Hii nimeandika makusudi ili mabinti walio shuleni wajue shule ni muhimu kuliko kukimbilia umaarufu huku kichwani ukiwa mtupu. Vanessa na Jokate ni mifano hai ya kuigwa na wasichana wote Tanzania.
ChaiJokate Mwegelo ni I.11 pale St Anthony Mbagala. Jitahidi uwe unafurahia mafanikio ya wengine.
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D
Yaani hii nchi,,, kwahiyo II-19 ndo kipanga?Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM.
Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu mwaka 2003 ambao pia ni mwaka ambao Komredi Jokate Mwegelo alihitimua.
Hawa mabinti wadogo wawili walifanya vizuri sana kwenye mitihani yao. Inajulikana Jokate alipasua division one kali sana pale St Anthony Mbagala ila kwa Vanesa imekuwa haisemwi sana kuhusu elimu yake. Ukiangalia matokeo ya Vanesa form IV utaona alipiga Division II.19 (Tamka Two ya 19)
CIV-D HIS-C GEO-C KIS-C ENG-B FRE-C PHY-C CHE-C BIO-B BAS-D
huku akiwa pia kafanya vizuri masomo ya sayansi kama ilivyokuwa kwa Jokate.
Sijui zaidi kuhusu nini kiliendelea baada ya matokeo hayo ya form IV ila itoshe kusema kuwa Vanessa alikuwa kipanga shuleni. Hii nimeandika makusudi ili mabinti walio shuleni wajue shule ni muhimu kuliko kukimbilia umaarufu huku kichwani ukiwa mtupu. Vanessa na Jokate ni mifano hai ya kuigwa na wasichana wote Tanzania.
Umemaliza mwaka gani we boya?Hahaha 😅😅😅
Au A ya Bios na A ya physics o level ni ya kukosa kweli?
Math requires outstanding logical mind ambayo ke wengi hawajajaliwa kimkakati[emoji3]Mkuu.... kipanga????Nimekuja fasta nikitegemea kuona list ya masela waliopona.Anyway Hesabu Bado ni tatizo Kwa mtoto wa kike sijui kwann wakati mwanamke ni kiumbe mtunza kumbukumbu hatari Duniani,well serikali imelala.
Mwaka 94 mkuu...Umemaliza mwaka gani we boya?