Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

Huwezi soma elimi mbovu ukafaulu ukajiona mwenye akili mkuu!!

Hao kina jokate wamefika walipo sio kwa akili Bali connection mkuu!!

As,B's au C's za elim ya Bongo hazijawahi kuwa kigezo Cha akili!!ingekua hivyo Bas professions ndio zingelipa kuliko siasa!

Niishie hapo!
 
2003 elimu ilikua ngumu sana huyo elimu ya leo angepata one division kabisa.....
 
Neno kipanga limekosa heshima katika huu uzi.....2 ya 19 anaitwa kipanga kweli UVCCM hamna akili hata huyo jokate ukifatilia utakuta alipata one za 16 au 17 huko.
2003 elimu ilikua jiwe kaka
Mpe sifa zake
 
Wewe ni mtu mjinga sana kuwahi kutokea Tanzania. Unadhani bila hizo As na Bs utapata connection kirahisi? Nenda kaangalie matokeo ya Mwigulu, Zitto, Maharage Chande, Jerry Slaa na mawaziri wengine kisha rudi hapa uponde. Hizi enzi vilaza hawahitajiki hata ndani ya chama.. pale UVCCM kwa sasa wengi sana ni wasomi wa vyuo vikuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…