Vanessa Mdee alistahili tuzo ya mwanamziki bora wa kike

Vanessa Mdee alistahili tuzo ya mwanamziki bora wa kike

Gooooo Jideee wanavyozidi kukusema na kujaribu kukushusha sisi mapenzi yako yanazidi

Yaani weka show ya kufungia mwaka hiyo tarehe 24/12 /2016 hao clouds na diamond wao wakafanye jangwani beach sie tuwekee mliman city hata 100,000 kawaida tutaingia...please fanya hivyoooo

Warumi fikisha ujumbeeeee
 
Huwezi mfananisha Jide na Vanessa, j
ide no nyingine hata huyo cash madame mwenyewe analijua hilo
 
f320e80b30176f796f5d5f71cb389294.jpg
 
Kura zimetenda haki ila kwa kweli Vee pesa yuko vyema kwa sasa !jide kabebwa na loyal fans tu sio kwa kuwa yuko bora dhidi ya Vee!
Ubora wa upi wa Kuvaa uchi na umarekani?!

Taja wimbo mmoja wa Vanessa uliotamba kupita Ndindindi kwa mwaka huu!!!!!
 
Unahisi upigaji kura tu ni njia bora ya kupata mshindi maana kama ndo ivo basi mwaka huu MTV mama tuzo zote zingekuja bongo maana hakuna nchi iliyo na mwamko wa upigaji kura kama tz
Kila Tuzo zina taratibu zake we unataka EATV award wawe na utaratibu kama wa Mtv alafu mje kusema humu kuwa jamaa wana-copy na ku-paste?!

Na usisahau mtv Ema wenyewe wana-category ambazo zilipatikana kwa popular vote kama African act aliyoshinda Ali kiba so usipende kulaumu laumu tu bila kuelewa kuwa kila tuzo wana taratibu zao na EATV Award toka wanaanza washasema wenyewe ni kupiga kura tu basi no blaah blaah
 
Naona tuzo za sikuhizi zina matatizo sana watu wanapiga kura lakini mshindi anatangazwa mwingine..
Mkuu acha jazba sio kila anaepigia kura basi atashinda au unataka kutuaminisha kuwa Jide hakupigiwa kura hata moja na Wananchi?!
 
Kila Tuzo zina taratibu zake we unataka EATV award wawe na utaratibu kama wa Mtv alafu mje kusema humu kuwa jamaa wana-copy na ku-paste?!

Na usisahau mtv Ema wenyewe wana-category ambazo zilipatikana kwa popular vote kama African act aliyoshinda Ali kiba so usipende kulaumu laumu tu bila kuelewa kuwa kila tuzo wana taratibu zao na EATV Award toka wanaanza washasema wenyewe ni kupiga kura tu basi no blaah blaah
Unaongea na hasira sana kama kiba anakulipaga almost tuzo zote duniani zina majaji ndo maana ata mtvema walimpa wizkid japo kibakuli alikuwa na kura nyingi......baada ya maandamano yenu nd wakaamua waepushe Shari maana kelel zilizid....majaji wanahitajika kwny tuzo hata wadau wa Sana'a wanashauri ivo
 
Kama vannesa alistahili mtuambia alistahili kwa nyimbo gani maana kigezo ni ubora wa nyimbo alizofanya kwa mwaka husika.shindanisheni nyimbo kati ya vannesa na jaydee
 
Andaa tuzo zako umpe.

Na tena ziite kabisa Vannesa Mdee Music Award.
 
Back
Top Bottom