Dumelo
Senior Member
- Apr 23, 2015
- 139
- 235
Mkuu Moyo Mashine ni wimbo mzuri sana sana, Ila "Aje" ni Balaa Zaidi .Kitendo cha moyo mashine kukosa tuzo kimenifanya niamini wapenzi wa muziki wapo kama wanachama wa vyama vya siasa..hata kikisimamisha mgombea wa hovyo wao watampa kura tu na kumuacha mtu bora zaidi!