Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
Tuzo uchwarwa a.k.a za mchangani
OVA
OVA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video za nyimbo za Vanessa mdee kwa sasa ni nzuri zaidi. Na pia uwezo wake wa kupafom jukwaani umekuwa mkubwa na unavutia.Africa? Haupo serious unamjua tiwa savage? Achana na yemi alade , kuna jembe linakuja anaitwa simi simplify
Unahisi upigaji kura tu ni njia bora ya kupata mshindi maana kama ndo ivo basi mwaka huu MTV mama tuzo zote zingekuja bongo maana hakuna nchi iliyo na mwamko wa upigaji kura kama tzWoote hamkupiga kura halafu mnakuja hapa kulalamika. Watanzania watu wa ajabu sana hapa duniani tunapenda sana kilalamika bila kuchukua hatua. Eatv kila siku wanasisitiza watu wapige kura maana wao wameacha maamuzi kwetu! Hakika dunia isingepungukiwa kitu kwa kutokuwepo Waafrika.
Uwezo huwo Vanessa anao kabisaVanessa sawa anaiwakilisha nchi kwa sasa ila kwa mashabiki hamfikii Jd na hawezi jaza ukumbi kwa kiingilio cha laki au elf 50 lakini kwa Jd mpaka tiketi zinaisha kingine ni kuwa Jd na EATV wamefamya mambo mengi Pamoja hivyo hawawezi kumuona anashindwa na mtoto wa jana ukitaka kupima mashabiki wa mtu mwambie aitishe show alafu asimame yeye kama yeye hiki ndio kipimo sahihi
Hana uwo uwezo mkuu mwambieni akaze tu msimpe sifa ambazo hastahiliUwezo huwo Vanessa anao kabisa
Uwezo huwo Vanessa anao kabisa
Kwa wimbo gani mkuu? Vanessa ni msanii mzuri sana ila bado hawezi kulinganishwa na legend komando Jide... Ndindindi ni nomaKura zimetenda haki ila kwa kweli Vee pesa yuko vyema kwa sasa !jide kabebwa na loyal fans tu sio kwa kuwa yuko bora dhidi ya Vee!
Sijawahi ona Jide amesimama yeye kama yeye, kuna ile show alikuwa na beef kali na kina Ruge, huku upande wa kina Ruge alisimama 'Mwanafatuma', huku kwa Jide alialika magwiji kina Sugu, Nature wampe tafu. Pia hii show ya juzi Mlimani City alikuwa na kina KibaVanessa sawa anaiwakilisha nchi kwa sasa ila kwa mashabiki hamfikii Jd na hawezi jaza ukumbi kwa kiingilio cha laki au elf 50 lakini kwa Jd mpaka tiketi zinaisha kingine ni kuwa Jd na EATV wamefamya mambo mengi Pamoja hivyo hawawezi kumuona anashindwa na mtoto wa jana ukitaka kupima mashabiki wa mtu mwambie aitishe show alafu asimame yeye kama yeye hiki ndio kipimo sahihi
Vanessa alisema wakamroge na wameroga kweli watu hawataki ujinga
Ww kweli ndo kilaza kabisa tuzo zenyewe ata hapa mbagara hazijulikani labda cjui unamanisha kijiji ganiTanzania kwelii mavilaza ni. Mengi mpige kura wenyewe bado mlalamike.
Uyoo v money anaumaarufu gani east Africa? Asilimia kubwa ya watanzania ambao hawajaenda darasani hawamfahamu. Hujui wapiga kura wengi wako vijijini