Vanessa Mdee alistahili tuzo ya mwanamziki bora wa kike

Hivi ile blog ya Millard ayo hawaruhusiwi kuripot habari za burudan zinazoandaliwa na media nyingine tofaut na clauds? Jana ilikua ndo siku ya Tuzo za EATV nimeangalia hawajaripot chochote kuhus hizo tuzo badala yake wameripot tu Skul bash hii ikoje wadau
Yeah hawaruhusiwi.... ndio maana hata blog sammisago haikuwahi kureport fiesta.. it's oligopoly market na ndivyo inavyofanya kazi.
 
Kura zimetenda haki ila kwa kweli Vee pesa yuko vyema kwa sasa !jide kabebwa na loyal fans tu sio kwa kuwa yuko bora dhidi ya Vee!
 
Watu sijui vp?Hiyo ni tuzo ya mwanamuziki bora wa mwaka,sio ya mwanamuziki bora wa miaka 3 au 2!
Kura ndio ziliamua,au unataka nini zaidi?Waliowengi ndio wameshamchagua Jide!Wengi hamjajua kitu,wengi wa fans wamepiga kura kuwaprovoke clouds media group,lakini pia wengine wamepiga kura za huruma baada ya Jide kudhalilishwa na mkojozaji!
Nadhani msg ilifika vizuri clouds,kwamba pamoja na kumfitini Jide,hawezi kufitini feelings walizonazo juu yake!
So anaweza asiwe amefanya vizuri kuliko wasanii wengine lakini kura zikaamua vinginevyo?
Hapo sasa naakuelewa.. Kumbee ni ujinga ule ule wa timu..
 
Nitamwambia kura hazikutosha hivyo akubaliane na matokeo. Tatizo la sisi watz ni wagumu kukubali matokeo. Badala yake tunaanza kubeza na kuponda. Wenzetu humpongeza mshindi na kumwambia aliyeshindwa akazane ili tuzo zijazo aweze kishinda
Unahisi kura zinatosha kuamua mshindi
 
Hivi ile blog ya Millard ayo hawaruhusiwi kuripot habari za burudan zinazoandaliwa na media nyingine tofaut na clauds? Jana ilikua ndo siku ya Tuzo za EATV nimeangalia hawajaripot chochote kuhus hizo tuzo badala yake wameripot tu Skul bash hii ikoje wadau
Hawa nao ni wanafki ,clouds fm B
 
Japo ni tuzo za Tz.... ilikuwa haina baja ya kusemea hili maana tulilitegemea lakini ukweli lazima uwekwe wazi! Lady Jay De hakustahili kuchukua Tuzo aliyo chukua Jana! Labda jana ilikuwa ni kwa Ajiri ya Wakongwe Tuuu lakini nafikiri hata tukifuatilia upigaji kuraa utaona Vanessa Mdee alikuwa anakura nyingi Tuuu!!!!

Tukiachana na kura Kwa sasa na kwa miaka 2 nyuma wakati lady Jay De alikuwa Nje ya nchi vanessa Mdee ndo amekuwa mtu anae iwakilisha vyema Tanzania Nje ya nchi kwa upande wa Kike hadi kuwa nominated Mara mbili Tuzo za Mtv! Ameshajijengea Mashabaki ndani na Nje ya nchi lakini mwisho wa siku anakosa Tuzo kisa Figisu Figisu!!

Tunaweza kugues why Vanessa Mdee kakosa tuzo lakini sio mahara pake hapa Japo waliotoa Tuzo wanajua ukwelii!! walio ona mchakato wa hizi tuzo waliamua kukaa Mbali!

Lakini kiukweliii Vanessa Mdee Alistahili hii tuzo bila ubishiiiiii.......Hata iwe kwa mchakato wa kuraaa Bado vanessa Ana Fan Base kubwaaa kuliko huyo!!!!

Haya ndo yanayo fanya watu kususia hizo Tuzo! ila Kwangu mimi kwa mwaka Huu Vanessa Mdee ndo the best
Vanessa hana hadhi ya kupata tuzo mbele ya jd
 
Miaka michache ijayo Vannessa Mdee atakuwa ndio msanii bora wa kike Afrika mashariki na kati kwa zaidi ya miaka mi5 mpaka 10 mfululizo.
-Atapata tunzo nyingi sana list sawa na waimbaji bora wa kike Africa nzima.
 
Vipi ulimpigia kura?
 
Ze ndi ndi ndi ilikua anthem nchi nzima nyie mnaomtete cash madame mtuambie ni wimbo wake gani uliotamba nchini mwaka Jana ukaimbwa kuanzia watoto hadi wazee?
V ni talented ila kwa jide bado sana hata yeye anajua hilo!
 
Ze ndi ndi ndi ilikua anthem nchi nzima nyie mnaomtete cash madame mtuambie ni wimbo wake gani uliotamba nchini mwaka Jana ukaimbwa kuanzia watoto hadi wazee?
V ni talented ila kwa hide bado sana hata yeye anajua hilo!
Alishasema jide ni role modal wake.
 
Miaka michache ijayo Vannessa Mdee atakuwa ndio msanii bora wa kike Afrika mashariki na kati kwa zaidi ya miaka mi5 mpaka 10 mfululizo.
-Atapata tunzo nyingi sana list sawa na waimbaji bora wa kike Africa nzima.
Africa? Haupo serious unamjua tiwa savage? Achana na yemi alade , kuna jembe linakuja anaitwa simi simplify
 
Back
Top Bottom