Vanessa Mdee bado hajamsahau Jux, anatumia nguvu kubwa kumtumia mpenzi wake mpya kwa lengo la kujaribu kumpa wivu Jux

Vanessa Mdee bado hajamsahau Jux, anatumia nguvu kubwa kumtumia mpenzi wake mpya kwa lengo la kujaribu kumpa wivu Jux

V Money lazima awe chizi tangu wameachana na Jux hata mziki kaacha hata nyimbo zake zote zilikuwa mahaba ya kumwimbia jux yaani sasa hivi hata hawezi kusikiliza nyimbo zake mwenyewe
 
Watu tuna muda wa ziada..., yaani hadi tunapata fursa ya ku-dissect maisha ya watu? Nadhani wewe ndio kati ya wachache wenye kipaji cha kujua watu zaidi ya wanavyojijua wenyewe
 
Wabongo mnapenda kujifanya nyie ndio mioyo ya watu

Asifurahie penzi lake kisa waja wataona hajamove on

Pyeeeeeee

Maisha yenyewe mafupi haya mwache afaudu....
 
View attachment 1593095

Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa kutumia nguvu kubwa sana kujichoresha mbele ya wapenzi wao wapya.

Na kwa kutumia instagram mbinu hii imekuwa ya kidijitali ambapo Vanessa Mdee anaweza kupost karibu picha 20 kwa siku yupo na mpenzi wake mpya.

Jux hana habari kabisa na huenda labda ashajua lengo la Mdee, hiki kitu kinamfanya Mdee azidi kuwa kichaa wa visasi maana sio kwa picha hizi.
Kwa hiyo mkuu mtu asiweke mtuwe mpya kisa wa zamani mbona maajabu haya.Muache afurahie atakavyo
 
Kelele za chura tu. Huyo V money kabla ya kua na Jux kaliwa sana watu sidhani kama Jux anakitu special kumfanya sistere vanessa ashindwe ku move on. Tena V money anabahati sana penzi lake limepanda thamani kutoka bongo mwanaume anakwambia usiwaze bby kunadili naskilizia nitakutoa hela usiwaze hadi state kwa mtu star zaidi ya jux. Sio mwanamke unaacha kuliwa na mm unaenda kuliwa na msukuma mkokoteni.
 
View attachment 1593095

Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa kutumia nguvu kubwa sana kujichoresha mbele ya wapenzi wao wapya.

Na kwa kutumia instagram mbinu hii imekuwa ya kidijitali ambapo Vanessa Mdee anaweza kupost karibu picha 20 kwa siku yupo na mpenzi wake mpya.

Jux hana habari kabisa na huenda labda ashajua lengo la Mdee, hiki kitu kinamfanya Mdee azidi kuwa kichaa wa visasi maana sio kwa picha hizi.
Watakuwa chakula chao cha kila siku ni sembe hawa hakuna ndoa hapo ni sembe ipo kichwani na wakichelewa hata kuwa na mtoto muda huu sijui hata mtoto atapatikana.sembe kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom