Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Kuna mahali Jux alisema ' ukiwa unasubiri kitu kitokee halafu kikatokea....' Alikuwa anasubiri Vanee aseme Hii relationship basi. Kwa maana nyingine Jux anasema 'it was over kitambo
Hili ndilo lililomuudhi Venee
Jux alikuwa mahusiano mapya wakati bado yupo na Venee
Jux ndio kalianzisha hili timbwili angesema ' yalikuwa maamuzi yetu sote akaishia hapo lakini akaendelea oh yapo mengi siwezi kueleza yote......
 
Amekojozwa kwa miaka yote hiyo, leo anasema hovyo. Au amekutana na kipimio kikubwa akajuta huko alikotoka alikuwa anachelewa nini.??
 
Jux ni mtu tofauti sana .
Amevumilia mengi huyo vanessa ni mpumbavu hajatulia anajiona sana naalikuwa anamdharau jux anatembea na mastaa wakimarekani ila hajajua moja alipoteza nyota yake kama daimond alivyopoteza nyota yake .
Binadamu tumeumbwa kutotambua nyota yako unaenda kwa mikosi tu watu wasiokudhamini watu wasiokujali na unamtegemea asiyekuona unafaa.
Ndio maisha lakini vane baibai nyota yako.
Utaangalia mwa macho chote ulichovuna naye kinaliwa na mwingine isitoshe hicho kifua ulichokua unakilalia wakati umeshindwa jambo hakipo tena .
 
Ujinga kiwango cha lami, sijui watu wataacha lini kutoleana siri zao wakishaachana, mambo ya kishamba mbona alikaa nae kama hajui kitu??Je yeye anajijua kama yuko vzr kwa kila kitu na hana kasoro??Nimekadharau haka kadem kweli mbona mshikaji yeye kajibu kistaarabu tu
Point...
 
Jux ni mtu tofauti sana .
Amevumilia mengi huyo vanessa ni mpumbavu hajatulia anajiona sana naalikuwa anamdharau jux anatembea na mastaa wakimarekani ila hajajua moja alipoteza nyota yake kama daimond alivyopoteza nyota yake .
Binadamu tumeumbwa kutotambua nyota yako unaenda kwa mikosi tu watu wasiokudhamini watu wasiokujali na unamtegemea asiyekuona unafaa.
Ndio maisha lakini vane baibai nyota yako.
Utaangalia mwa macho chote ulichovuna naye kinaliwa na mwingine isitoshe hicho kifua ulichokua unakilalia wakati umeshindwa jambo hakipo tena .
ulikuwaga unawashikia chupi wakiwa wanabinjuana mkuu?
 
Tatizo wanawake wa siku hizi sheria inawalinda sn,wanatetewa sn. Vp nae Jux akitunga story kuwa papuchi yake yai vi...nza....vp hapo!! V-money atulie na aendelee na busara yake tuliyomzoea
Ananikumbusha Jay dee na Gardner.

Jay dee alikua anaongea shit sana hatimae Gardner akachoka akatoa moja tu[emoji3][emoji3]
Kumkojolesha, Jaydee akakimbilia kushtaki kwamba kadhalilishwa
 
Back
Top Bottom