Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Akihojiwa EATV vanessa mdee amedai licha ya kuwa na kifua kikubwa bwana Jux kitandani alikua kama gogo.

Uzi tayari.
Kama hii taarifa ni ya kweli then nilijua tu kuwa bi dada hajafurahia Juma ku move on, i hope she still love him as Jux does too ila anajikaza au kufanya yaishe kama hajali kumbe anajali. To speak against of your ex's cons au hata yasiyohusu majukumu yako ya kila siku na yenye vipaombele (mziki, biashara) na kusemea ya sirini ni (upungufu wa kinga rohoni) - UKIRO yaani ni ugonjwa mbaya sana. Unazalisha chuki, visasi, hasira za hovyo au visirani, sonona, kupunguwa mwili hata kuwa na maamuzi au tabia mpya za hovyo (kama kwa sasa anavyotoa picha au video za nusu utupu, sidhani kama ndio ilikuwa haiba yake tangu anaanza mziki) n.k.

She is very neat, talentive, go getter, courageous and i believe she is still smart as well grown up (anaingia 30's soon au tayari), she must do her's and stop all the shenanigans which couldn't do any good to her favor's zaidi ya kujiongezea ujinga at last.

Ushauri wangu kwa watu maarufu pindi wanafanyiwa interview, siki hizi kuna ma reporter uchwara na journalist wasio kuwa compitent enough watauliza mambo ya ajabu sana mpaka utashangaa kuwa ametumwa (mule) au hajakomaa kwenye fani. So watu maarufu wawe sharp and critical kujua wanachoulizwa na kujibu pia, ila changamoto bado ipo pia ni kuwa baadhi ya watu maarufu pia nao darasa limekwamia pabaya (it's a two way traffic).

PEACE & LOVE
 
Ananikumbusha Jay dee na Gardner.

Jay dee alikua anaongea shit sana hatimae Gardner akachoka akatoa moja tu[emoji3][emoji3]
Kumkojolesha, Jaydee akakimbilia kushtaki kwamba kadhalilishwa
Kwa hawa hadi kuwa wanandoa it was too senstive kwa kweli, na kama wangepata watoto ingekuwa aibu sana kwenye zile drama zilizowekwa public. I think Gardner ana mtoto, that is sad. Ila Mungu huyu wa ajabu sana, watu wazima wanaelewana very soon it's a matter of time and calmness. The couple wako sawa sasa hivi kama hakijawahi tokea kitu hapo awali. It's real fruitful for such example. I hope Vannesa na Juma watakuwa sawa when times are right hapo baadae, kwa sasa ni vijana with too much EGO, PRIDE, CREDIBILITY, FAME, JEALOUS etc.
 
Ni mpuuzi ndio anaongea hayo kwa umma baada ya kuachwa.. ingekuwa kadumu nae siku moja sawa.. yeye labda ndio ana tatizo
 
bado hajamwambia ana kibamia
Hahaha akibonga kuhusu hili atabugi sana, maana nilishawahi kutana na manzi fulani ambaye ameshawahi pita na Jux kitambo aisee hatokaa hamsahau mwamba. I can't wait for such nonsense!!
 
Diamond kaingiaje hapa?
Jux ni mtu tofauti sana .
Amevumilia mengi huyo vanessa ni mpumbavu hajatulia anajiona sana naalikuwa anamdharau jux anatembea na mastaa wakimarekani ila hajajua moja alipoteza nyota yake kama daimond alivyopoteza nyota yake .
Binadamu tumeumbwa kutotambua nyota yako unaenda kwa mikosi tu watu wasiokudhamini watu wasiokujali na unamtegemea asiyekuona unafaa.
Ndio maisha lakini vane baibai nyota yako.
Utaangalia mwa macho chote ulichovuna naye kinaliwa na mwingine isitoshe hicho kifua ulichokua unakilalia wakati umeshindwa jambo hakipo tena .
 
Mi nataka mnielekeze, mwanaume gogo kitandani,,anakuwaje,,

Ntajuaje kuwa huyu ni gogo,
Haha mwanaume gogo au mwanamke gogo,ni yule asikuwa na mbwembwe katika tendo la ndoa. Mfano hujiachia tu kila kitu mwenza wake awe ana shugulika mpaka mwisho. Hii inaweza kuwa mtu hana mazoea ya mambo hayo, au ujuzi wa kueleweshwa kabla, au makusudi pale mtu anakosa hamu na mwenzie kwahiyo hujiachia tu yaishe.
 
Haha mwanaume gogo au mwanamke gogo,ni yule asikuwa na mbwembwe katika tendo la ndoa. Mfano hujiachia tu kila kitu mwenza wake awe ana shugulika mpaka mwisho. Hii inaweza kuwa mtu hana mazoea ya mambo hayo, au ujuzi wa kueleweshwa kabla, au makusudi pale mtu anakosa hamu na mwenzie kwahiyo hujiachia tu yaishe.
Sikuwahi kuwaza kama kuna mwanaume gogo,, ile push and pull tu inamtoa kwenye ugogo
 
V pesa bas bado anampenda jamaa kama alikua gogo miaka yote amekaa nae wa kazi gani sasa mambo mengine yanastaajabisha sana. Kutoleana shombo baada ya kuachana ni ungese wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom