Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Hahaha unaenda kutafta changamoto au sio [emoji1]
 
Ila akaamua kukaa naye muda wote huo! [emoji15]
Wapumbavu banaa!
Hahaha akisoma hii comment anaweza jirusha ghorofani mzee tafadhali ifute [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚lakini Mkuu huoni ukweli? Yanini kuadhiriana hadharani?

L
 
huyu dada mbona anateseka sana? JUX anamzungumzia vizuri sana huyu dada kwenye interviews zake ila yeye anamtukana kila akimzungumzia dah!
 
Juma kamuumiza Sana huyu binti masikini halafu bado anajifanya mwema machoni mwa watu inauma sana kwa kweli, kamuacha mwenzake anaonekana fedhuli kwa stress ndo maana namuomba Sana Mungu niwe hai kipindi binti yangu anaanza mahusiano kiukweli
Utakapoingilia tu,hauta amin km huyo ni binti yako au jirani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…