Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Mi namuunga mkono baharia pia, wanawake wakibongo wengi vichomi hasa hawa wanaoitwa wasanii...Wana mambo ya kipuuzi sana yani bora kukamata ngozi za kitimoto tu sahivi.

Hamna haja ya kuumiza vichwa na wabongo. Wakizingua tu Kenya au kwa hasira Sweden kabisa.
Hahaha unaenda kutafta changamoto au sio [emoji1]
 
Ila akaamua kukaa naye muda wote huo! [emoji15]
Wapumbavu banaa!
Hahaha akisoma hii comment anaweza jirusha ghorofani mzee tafadhali ifute [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂lakini Mkuu huoni ukweli? Yanini kuadhiriana hadharani?

Hahaha akisoma hii comment anaweza jirusha ghorofani mzee tafadhali ifute [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
L
 
V pesa bas bado anampenda jamaa kama alikua gogo miaka yote amekaa nae wa kazi gani sasa mambo mengine yanastaajabisha sana. Kutoleana shombo baada ya kuachana ni ungese wa hali ya juu.
IMG_20190803_225242.jpg
 
huyu dada mbona anateseka sana? JUX anamzungumzia vizuri sana huyu dada kwenye interviews zake ila yeye anamtukana kila akimzungumzia dah!
 
Juma kamuumiza Sana huyu binti masikini halafu bado anajifanya mwema machoni mwa watu inauma sana kwa kweli, kamuacha mwenzake anaonekana fedhuli kwa stress ndo maana namuomba Sana Mungu niwe hai kipindi binti yangu anaanza mahusiano kiukweli
Utakapoingilia tu,hauta amin km huyo ni binti yako au jirani tu
 
Back
Top Bottom