Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Ujinga kiwango cha lami, sijui watu wataacha lini kutoleana siri zao wakishaachana, mambo ya kishamba mbona alikaa nae kama hajui kitu??Je yeye anajijua kama yuko vzr kwa kila kitu na hana kasoro??Nimekadharau haka kadem kweli mbona mshikaji yeye kajibu kistaarabu tu
"Maneno ya kuambiwa" alafu unapanikije kifala ivyo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan hata hujamsikia muhusika kama ni yeye kweli au la.. usha mchukia wengine wana chuki binafsi wanazusha yao tu
 
Amenikumbusha kuna rafiki yake mmoja Vanessa naye kitambo alishapigwa chini akasema maneno kama hayo.

Inawezekana akili zao moja.
 
Jux ni mtu tofauti sana .
Amevumilia mengi huyo vanessa ni mpumbavu hajatulia anajiona sana naalikuwa anamdharau jux anatembea na mastaa wakimarekani ila hajajua moja alipoteza nyota yake kama daimond alivyopoteza nyota yake .
Binadamu tumeumbwa kutotambua nyota yako unaenda kwa mikosi tu watu wasiokudhamini watu wasiokujali na unamtegemea asiyekuona unafaa.
Ndio maisha lakini vane baibai nyota yako.
Utaangalia mwa macho chote ulichovuna naye kinaliwa na mwingine isitoshe hicho kifua ulichokua unakilalia wakati umeshindwa jambo hakipo tena .
Diamond kapoteza nyota ipi sasa?
 
Ujinga kiwango cha lami, sijui watu wataacha lini kutoleana siri zao wakishaachana, mambo ya kishamba mbona alikaa nae kama hajui kitu??Je yeye anajijua kama yuko vzr kwa kila kitu na hana kasoro??Nimekadharau haka kadem kweli mbona mshikaji yeye kajibu kistaarabu tu
Huyu si alifikishwa polisi kwa tuuma za kula 'unga'?
 
Juma kamuumiza Sana huyu binti masikini halafu bado anajifanya mwema machoni mwa watu inauma sana kwa kweli, kamuacha mwenzake anaonekana fedhuli kwa stress ndo maana namuomba Sana Mungu niwe hai kipindi binti yangu anaanza mahusiano kiukweli
Huyu binti mwenyewe si ndio anathibitisha ufedhuli wake sasa😄.
 
Back
Top Bottom