wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,948
Diamond na group lake wanauza unga, ni suala la muda tukuna video clip ya salamu za mwaka mpya ya diamond platnumz huwa inaonyeshwa na azam tv.ule uzungumzaji wake unanitia shaka sana....mdomo wake unaonekana mzito ktk kutamka maneno.....siyo diamond yule anayeongea maneno mengi ya kitandale tandale niliyemzoea...isije kuwa na yeye ni mnusaji mkubwa wa hayo madude...mungu anisamehe kwa kumfikiria simba vibaya...kama ni kweli basi ipo siku wakati utaongea.
hilo nafahamu vizuri wooden....na hata boss wao anaye wasponsa ktk biashara hii anafahamika vizuri...ni mtu mmoja mzito sana ktk jamii ya watz.acheni tu jamani.Diamond na group lake wanauza unga, ni suala la muda tu
Sa kumbe watu mnajua mambo kibao mnatuzingua tu humu ndani!!fungukeni ndugu zetu waponehilo nafahamu vizuri wooden....na hata boss wao anaye wasponsa ktk biashara hii anafahamika vizuri...ni mtu mmoja mzito sana ktk jamii ya watz.acheni tu jamani.
Asante sana mkuuMpaka nimsikie Dem wa The Bold ndiyo.nitaamini,maana kwa ubuyu anatisha.
Huwa nakuamini sana kwenye maubuyu,kama sijakusikia najua haipo hivyo.
Umeona Mkuu.. Watu wana fake ID But bado wanahanya kinouma nouma.. Watz bwanaSa kumbe watu mnajua mambo kibao mnatuzingua tu humu ndani!!fungukeni ndugu zetu wapone
Duuuuhh aisee! [emoji15] [emoji15] [emoji15]Asante sana mkuu
Ukweli kuhusu huyu mdada kutumia hii kitu nimewahi kusikia muda sana nadhani zaidi ya mwaka.
Ila kwakuwa ana pesa anatumia ule wa daraja la juu ni ngumu kumgundua kwa sasa,akianza kufulia tu ndipo ukweli utakapodhihiri.
Mbona ni wengi tu?Hata Wema nae yupo ktk list,ni kiasi cha muda tu mkuu.
Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.
Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.
Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.
Una uhakika mkuu maana hiyo ni accusation kubwa sana.Vanessa achana na JUX, huyo kijana ni kibaka na atakulostisha tu muda si mrefu. JUX si mwanamuziki ila ni msanii huko nyuma ya pazia ana yake ya kutisha anafanya. Wewe ni mtoto sana Veee, mb.ooo ya muuza sembe isikuchanganye kihivyo, jali maisha yako, ona wasanii wenzako wanavyolostika hapa nchini. JUX is fake atakulostisha tu.
Duuuuhh aisee! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asante malkia wa ubuyu..
Ujue huu unga daraja la kwanza ni Cocaine ile yenyewe pure.. Hawa akina Chidi Benz & Co wanatumia crack cocaine au heroin..
Una uhakika mkuu maana hiyo ni accusation kubwa sana.
Anasoma kwa kichina au kiingereza?Anasoma Computer science
Sawa jux
Juzi niliona picha wakiwa wametembelewa na moja ya waliowahi kuwa kiongozi hapa nchini, nikajua mauzo kwa mwaka walikuwa mazurihilo nafahamu vizuri wooden....na hata boss wao anaye wasponsa ktk biashara hii anafahamika vizuri...ni mtu mmoja mzito sana ktk jamii ya watz.acheni tu jamani.