Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

kuna video clip ya salamu za mwaka mpya ya diamond platnumz huwa inaonyeshwa na azam tv.ule uzungumzaji wake unanitia shaka sana....mdomo wake unaonekana mzito ktk kutamka maneno.....siyo diamond yule anayeongea maneno mengi ya kitandale tandale niliyemzoea...isije kuwa na yeye ni mnusaji mkubwa wa hayo madude...mungu anisamehe kwa kumfikiria simba vibaya...kama ni kweli basi ipo siku wakati utaongea.
Diamond na group lake wanauza unga, ni suala la muda tu
 
hilo nafahamu vizuri wooden....na hata boss wao anaye wasponsa ktk biashara hii anafahamika vizuri...ni mtu mmoja mzito sana ktk jamii ya watz.acheni tu jamani.
Sa kumbe watu mnajua mambo kibao mnatuzingua tu humu ndani!!fungukeni ndugu zetu wapone
 
Kale kajike ninavyokatamani bora nikawahi kabla hakijanyorodoka inaelekea jux kakashindwa!
 
Mpaka nimsikie Dem wa The Bold ndiyo.nitaamini,maana kwa ubuyu anatisha.
Asante sana mkuu
Ukweli kuhusu huyu mdada kutumia hii kitu nimewahi kusikia muda sana nadhani zaidi ya mwaka.
Ila kwakuwa ana pesa anatumia ule wa daraja la juu ni ngumu kumgundua kwa sasa,akianza kufulia tu ndipo ukweli utakapodhihiri.
Mbona ni wengi tu?Hata Wema nae yupo ktk list,ni kiasi cha muda tu mkuu.
Huwa nakuamini sana kwenye maubuyu,kama sijakusikia najua haipo hivyo.
 
Asante sana mkuu
Ukweli kuhusu huyu mdada kutumia hii kitu nimewahi kusikia muda sana nadhani zaidi ya mwaka.
Ila kwakuwa ana pesa anatumia ule wa daraja la juu ni ngumu kumgundua kwa sasa,akianza kufulia tu ndipo ukweli utakapodhihiri.
Mbona ni wengi tu?Hata Wema nae yupo ktk list,ni kiasi cha muda tu mkuu.
Duuuuhh aisee! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asante malkia wa ubuyu..

Ujue huu unga daraja la kwanza ni Cocaine ile yenyewe pure.. Hawa akina Chidi Benz & Co wanatumia crack cocaine au heroin..
 
Kwajinsi navyokutamani V money.... 'mi pia naanza kutumia... Tukutane sober house cc kalapina
 
Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.

Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.

Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.


Vanessa achana na JUX, huyo kijana ni kibaka na atakulostisha tu muda si mrefu. JUX si mwanamuziki ila ni msanii huko nyuma ya pazia ana yake ya kutisha anafanya. Wewe ni mtoto sana Veee, mb.ooo ya muuza sembe isikuchanganye kihivyo, jali maisha yako, ona wasanii wenzako wanavyolostika hapa nchini. Sasa naweza kuamini kwa nini unaonekana mzee wakati bado ni kinda kabisa, usipo angalia maisha yako JUX atakulostisha tu na watu watakukimbia mtaani.
 
Vanessa achana na JUX, huyo kijana ni kibaka na atakulostisha tu muda si mrefu. JUX si mwanamuziki ila ni msanii huko nyuma ya pazia ana yake ya kutisha anafanya. Wewe ni mtoto sana Veee, mb.ooo ya muuza sembe isikuchanganye kihivyo, jali maisha yako, ona wasanii wenzako wanavyolostika hapa nchini. JUX is fake atakulostisha tu.
Una uhakika mkuu maana hiyo ni accusation kubwa sana.
 
Duuuuhh aisee! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asante malkia wa ubuyu..

Ujue huu unga daraja la kwanza ni Cocaine ile yenyewe pure.. Hawa akina Chidi Benz & Co wanatumia crack cocaine au heroin..

[emoji4] [emoji4] Thank you love

Yeah...lakini kipindi ambacho Chid aliingia humo alianza na huo wa daraja la juu mambo yalipoharibika ndio akaanza kutumia huu mchafu na ndipo wanapozidiwa.

Wote walioharibikiwa walianzia huko kwenye Cocaine.
Imagine Ray C aliuza hadi nyumba ili tu aweze kumaintain kununua Cocaine dah!
Mwisho alipofulia kilichofuata everybody knows [emoji24]
 
Una uhakika mkuu maana hiyo ni accusation kubwa sana.


Hapa kitaa nani asiyemjuwa Juma.....Veee asipopata watu wa uhakika wa kumwachisha na huyu kibaka, soon yatamkuta ya Chidi Benz. Veee ni mtoto tu ila anaonekana kakongojoka na mzee pengine kemikali zimeshaanza kufanya kazi mwilini. This is just too sad kama ni kweli anajichoma.
 
Ila kwa kweli yani ukianza kutimia cocaine grade 1 ndani kama ya mwezi yani unahisis raha balaa hata mi pia nafikiri ni mtumiaji mjanja kwa mwezi mara mbili naacha kidogo kidogo.
 
Mbona wengi tu wanatumia sema wanatumia daraja Juu, madhara yake kuonekana sio rahisi, kwa mfano Wema mtumiaji mzuri, Wolper, Agnes Masogange, Diamond, Raymond, n.k ni suala la muda tu
 

Aiseee Mimi niko mkoa Dar naendaga wiki au wiki mbili nimemuulizia jamaa mmoja mtoto wa mjini sio kweli sio wa kitoto nikampigia cm kasema jamaa wa bwana V money ni pusha kitambo sikuhamini aiseee
 
Swali kubwa kama tunasema watu wanatumia madawa ni jambo baya sasa kwa nn linatokea Kuna mapungufu katika sekta flani za ulinzi kwa upande wa serikali,Kuna kuiga maisha ambayo si utamaduni ss vijana,kwa upande wa serikali iyakikishe madawa ayaingii na ss vijana tuache kuiga ,Kuna wapo mitaani hawajawahi kusadiwa kama wanavyo saidiwa hao wasanii na bado hawataki kubadilika
 
hilo nafahamu vizuri wooden....na hata boss wao anaye wasponsa ktk biashara hii anafahamika vizuri...ni mtu mmoja mzito sana ktk jamii ya watz.acheni tu jamani.
Juzi niliona picha wakiwa wametembelewa na moja ya waliowahi kuwa kiongozi hapa nchini, nikajua mauzo kwa mwaka walikuwa mazuri
 
Back
Top Bottom