wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,948
Diamond na group lake wanauza unga, ni suala la muda tukuna video clip ya salamu za mwaka mpya ya diamond platnumz huwa inaonyeshwa na azam tv.ule uzungumzaji wake unanitia shaka sana....mdomo wake unaonekana mzito ktk kutamka maneno.....siyo diamond yule anayeongea maneno mengi ya kitandale tandale niliyemzoea...isije kuwa na yeye ni mnusaji mkubwa wa hayo madude...mungu anisamehe kwa kumfikiria simba vibaya...kama ni kweli basi ipo siku wakati utaongea.