Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Watu Wazima wanaacha shughuli zao wanamjadili mtu ambae Hana mpango nao
 
Hayana kificho km kweli tutajua tu ila kama kumwaribia jina lake sio vzuri.
 
hii habari kama imetoka kweye magazeti pendwa,,siwezi kuamini
 
Why daudi katika zaburi aliimba, and unasema from Jesus to mtume, ,tena bible inasema mwimbieni bwana kwa shangwe na vinubi, and when other factor remain constant, why msanii anatumia madawa, that's a logical question, na sio una generalized,
 
Riama ally pia, yeye mpka bangii anavuta
 
Vijana wanaona Ngada ndio Ujanja...media wanawaonesha teenegers kuwa role model ni lazima awe msanii ambaye ana historia za abortion au drugs kupitia kipepeo na after school bash.

this thinng is serious guys...our culture have been distorted.

ngoja nipate lunch baada salat jumaa.
 
akiimba mziki huwa nahisi ubongo wake umetulia. ila ukimuweka one to one interview, huwa sielewi kama ubongo wake upo mguuni au usoni. anasambaratika, anajifanya mmarekani, anajifanya amesoma kenya halafu anaongea kama mtu ambaye hana elimu kichwani kabisa, anajifanya yuko juuuuuuuu halafu hana point kabisa. hata kina dangote wasioenda shule huwa wanaongea mambo yenye akili na point sana, yeye hana point kama le mwiliz. alihojiwa siku moja na kituo cha tv kenya, anatia aibu tu, kwa umri wake haongei point, kama mlevi...ni kama mtu mwenye mapepeeeeeee na mwenye akili isiyotulia. hivyo hata kama havuti, hakika mimi wakisema anavuta hata kama sio kweli, ninaweza kuamini asilimia tisini. mapepe yale sio ya mtu mwenye akili ya kawaida....na kujifanya mmarekani. sijui hana washauri au ni pepe liko ndani yake hajipendei ? sijui ni nini? hatamanishi kusikiliza kabisa akiwa kwenye interview.
 
ukimwangalia usoni tu, kuna asilimia kubwa sana lisemwalo lipo.
 
Mkuu hapo naona chumvi imezidi,mtoto wa miaka 5 anajua mwanaume?[emoji15] [emoji15]


Mkuu sina sababu ya kuongeza chumvi! ! Kwa faida ya nani niseme uwongo!? Ukisia Wanasema uswahili kuna Vituko ndo kama hivyo!! Ngono imetawala sana kwa sasa katika vichwa vya binaadam wengi, hali ni mbaya kiasi kwamba ni ngumu hata kuelezea kwa maneno!!

**The best way I can describe the situation is....it's HELL ON EARTH.
 
Duuuh haka kaubuyu kanachoma kama pasi aiseeeeee sitamani iwe kweli jamani the way ninavo muelewa Vanessa duuuh mungu saidia iwe nikaubuyu ka waondoa stress Jf kasikokua na ukweli wowote atheeeeee
 
mtu na akili yake timamu hawezi kuwa mchangamfu kama kicheche au kindege vile. ni ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…