mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Sasa ndio unataka kusemaje?!Kwa ukali wa video za vannesaa muziki haumlipi kiasi hicho cha kutengeneza video za gharama hvyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndio unataka kusemaje?!Kwa ukali wa video za vannesaa muziki haumlipi kiasi hicho cha kutengeneza video za gharama hvyo
Sawa mkuu papara zimeishaSijazungumzia mwili wake mkuu punguza papara.
Nimezungumzia Tabia zake za uchangamfu uliopitiliza na sio mwili wake kuwa mwembamba.
Bange fresh tu kwan umewahi kumuona mtu kadata kisa bange?Hivi wana jf madawa ya kulevya na bhangi kipi bora,
Riama ally pia, yeye mpka bangii anavutaAsante sana mkuu
Ukweli kuhusu huyu mdada kutumia hii kitu nimewahi kusikia muda sana nadhani zaidi ya mwaka.
Ila kwakuwa ana pesa anatumia ule wa daraja la juu ni ngumu kumgundua kwa sasa,akianza kufulia tu ndipo ukweli utakapodhihiri.
Mbona ni wengi tu?Hata Wema nae yupo ktk list,ni kiasi cha muda tu mkuu.
akiimba mziki huwa nahisi ubongo wake umetulia. ila ukimuweka one to one interview, huwa sielewi kama ubongo wake upo mguuni au usoni. anasambaratika, anajifanya mmarekani, anajifanya amesoma kenya halafu anaongea kama mtu ambaye hana elimu kichwani kabisa, anajifanya yuko juuuuuuuu halafu hana point kabisa. hata kina dangote wasioenda shule huwa wanaongea mambo yenye akili na point sana, yeye hana point kama le mwiliz. alihojiwa siku moja na kituo cha tv kenya, anatia aibu tu, kwa umri wake haongei point, kama mlevi...ni kama mtu mwenye mapepeeeeeee na mwenye akili isiyotulia. hivyo hata kama havuti, hakika mimi wakisema anavuta hata kama sio kweli, ninaweza kuamini asilimia tisini. mapepe yale sio ya mtu mwenye akili ya kawaida....na kujifanya mmarekani. sijui hana washauri au ni pepe liko ndani yake hajipendei ? sijui ni nini? hatamanishi kusikiliza kabisa akiwa kwenye interview.Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.
Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.
Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.
Mkuu hapo naona chumvi imezidi,mtoto wa miaka 5 anajua mwanaume?[emoji15] [emoji15]