Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

amekanusha kwenye Instagram yake eti usnich na mleta Uzi kakuona mbea
 
ahahah umenichekesha ila kuna ka ukweli hapa
 
Vanessa Mdee hatumii hizo kitu huko ni kumsingizia na mshindwe. Mungu wake anayemtumaini anampigania daima. Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza. Keep rocking Vanessa
 
Vanessa Mdee hatumii hizo kitu huko ni kumsingizia na mshindwe. Mungu wake anayemtumaini anampigania daima. Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza. Keep rocking Vanessa

Je, unajua kama mpenzi wake ni dealer kwenye hiyo biashara?

Mkuu ukiwa unauza sigara kuna baadhi ya wateja watakwambia niwashie.

Labda anakuwaga kwenye kitengo cha kutest ubora!
 
Looks like unga ni tamu sana... Feeling of ecstasy.
Kwo the weed we inhale haifikii poda kweli!?
 
Una bifu na mshana eeeeh!!!!🙁
Ha ha ha hata mimi naliona hilo. Hawajamaa toka j3 ya week hii naona wanapigia simu sana. Jaman jf sio pa kuwekeana bifu. Hapa tunapeana ushauri na jokes kidogo kupunguza stress
 
Sijui hili taifa linaenda wapi. Mie sijaelewa hapa. Hivi kwanin hawa vijana wakipata ka upenyo ka kipato wanabadili stail ya maisha. Afu nasikia huyu ndo alitoka familia ya kidini.
Hapa tunatakiwa kufunga kwajili ya hawavijana si bure
 
Kuvuta watavuta sana kubeba ni ngumu mana maisha ya mapunda huwa mazuri....cz nw bei ya trip itakua imepanda maradufu cku hizi wengi wamehamia kupeleka methadone Sauzi Hongkong n Macau kuingia n mzigo ni ngumu
 
Lakini kanalingania na hii habari,kwa jinsi kalivyo kamodo flan'hivi kepesi kepesi hakitoi jasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…