Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hebu muulize kwanza...Na Vanessa nae? Haiwezekani, ngoja nimulize..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu muulize kwanza...Na Vanessa nae? Haiwezekani, ngoja nimulize..
Kila jambo huanza Kama tetesi au uvumiHakuna kitu kama hicho, Vanessa hatumii...
Okay, nimekusoma. Point yangu ilikuwa kusema kuwa wasanii wengi ni drug addicts.Suala la mavazi ni hulka ya MTU na malezi, haihusiani na madawa..
Mhhhhhh!Hapa kuna zaidi ya msaada wa rehab.Kama yuko tayari, anakaribishwa kwenye rehabilitation center yangu nimpe matibabu for free
ahahah umenichekesha ila kuna ka ukweli hapaMtu unawezaje kutembea mbele za watu au kushoot video na vichupi bila kutumia madawa ya kulevya ya aina yoyote ile?!! Inajulikana wasanii wengi duniani hutumia haya makitu. Nimefanya kazi "methadone clinic," mateja huwa wananipa story kibao tu! Anyways!
Vanessa Mdee hatumii hizo kitu huko ni kumsingizia na mshindwe. Mungu wake anayemtumaini anampigania daima. Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza. Keep rocking Vanessa
ahahah umenichekesha ila kuna ka ukweli hapa
Wahuko kwenu watakuwa wameshindikana... mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 5 sasa anamjua mwanaume!!...
Jamani yeye sio tester na wala hajawahi tumia. Na hilo mnalomuombea halitompataJe, unajua kama mpenzi wake ni dealer kwenye hiyo biashara?
Mkuu ukiwa unauza sigara kuna baadhi ya wateja watakwambia niwashie.
Labda anakuwaga kwenye kitengo cha kutest ubora!
Atapukutika kama mti unavyopukutisha majaniDuuuh nakale kamwili cjui atakuaje jamani daah! Si atabaki kichwa tu
Ha ha ha hata mimi naliona hilo. Hawajamaa toka j3 ya week hii naona wanapigia simu sana. Jaman jf sio pa kuwekeana bifu. Hapa tunapeana ushauri na jokes kidogo kupunguza stressUna bifu na mshana eeeeh!!!!🙁
Anajua sana ww tu hujamuelewahuyu sijui hajui kusoma na kuandika huyu