Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

All the best in her new career.
Tumechoka.
 
dah,imenigusa sana hii stori ya huyu kijana,sipati picha maumivu mazito ambayo bimkubwa wake anayafeel kumtima,dah Mungu amsaidie huyo mtoto aongoke,la sivyo kina anti bilali watazidi kuwa wengi mitaani...na huyo baba ake cjui niseme Mungu amfanyeje uko akhera aliko,cjui ni amsamehe tu au amuadhibu accordingly!
 
lakini unga mtamu aisee...unaposniff unasikia raha mpaka vinyweleo vinasisimka...ukiwa na hela wala haukupi tabu ..south afica mpaka mawaziri wanatumia sana..
asubuhi hii nimeangalia movie ya mama mla unga nimechukia na kuuogopa sana
 
Hakuna kitu kama hicho, Vanessa hatumii...


Unakumbuka hata yule demu wa JUX si alikuwa anasema kuwa yeye ni model China na hatumii madawa wala kuyauza na hapendi watu wanaojishughulisha na biashara hizo. What happened to her in Macao? Naomba unipe jibu tafadhali....
 
Unakumbuka hata yule demu wa JUX si alikuwa anasema kuwa yeye ni model China na hatumii madawa wala kuyauza na hapendi watu wanaojishughulisha na biashara hizo. What happened to her in Macao? Naomba unipe jibu tafadhali....

Vanessa anajitambua sana huwezi mfananisha na jack

Unavyomuona Vanessa, licha ya kuwa mpenzi wa jux still muda mwingi yupo na nahreal na aika na sometimes yupo na weusi hiyo ndio campany yake, hawa watu wanasikilizana na kuheshimiana sana..

Unavyoyaona mafanikio ya vanessa mpaka hivi sasa, HANAGA MANAGER, MAMBO YOTE ANASIMAMIA YEYE MWENYEWE.. Ni mtu wa kusimamia sana, malengo yake although binadamu tunakumbana na vishawishi na tunaudhaifu, ila sio kwa vanessa kutumia madawa ya kulevya..

Kabla ya kujaji jiulize, je kuna supportive evidence yenye tija kutoka kwenye hayo maelezo ya mtoa mada??? au kwakuwa ni star, then baya lolote anaweza kufanya???
 
Kwa Uchungu...basi nakuja funguwa na kuasisi NGO !! (rehblisheni) hope mema mbeleni...


We just established one a month ago, tumepata vijana wengi sana mfano mpaka now tuko na vijana 28 ages between 17 mpaka 25 hawa wameathirika na powder chafu na gongo ( Pombe ya kienyeji). So far we are trying, karibu tusaidiane!
 


Mama yake analia tu muda wote kufikia hatua anamuogopa mwanae wa kumzaa! Haya Mambo kwa jamii yetu ni mageni kwa wengi wetu kiasi fulani hata hakuna taasisi zinazotoa huduma angalau ya elimu namna ya kujiepusha na huo upuuzi ama kama mtu kaathirika kisaikolojia!!
 
We just established one a month ago, tumepata vijana wengi sana mfano mpaka now tuko na vijana 28 ages between 17 mpaka 25 hawa wameathirika na powder chafu na gongo ( Pombe ya kienyeji). So far we are trying, karibu tusaidiane!
Hongera kwa kuanzisha ..japo hatujachelewa... Kunahitajika juhudi shirikisha na Moyo wa kusaidana..
I am on my way!!
 
Langa huwa ananisikitisha mpaka leo,kabla ya kifo aliachia wimbo flan hv kifo,jela,taasisi nadhani ni wa kuusikiliza kabla haujaanza kujidunga.
 
Hell nah...Ku sniff Heroin/Musharafu ni bonge moja la risk.....labda uniambie anavuta kawaida au kujichoma.....Kama ni kweli ana-sniff basi siyo Heroin ni Cocaine
 

Vanesa hanihusu and I have nothing against her ila ikumbukwe tu, the company you keep says a lot about you. Unataka kuniambia Jack alikuwa hajitambui? She knew who she was na ndiyo manna alikuwa anadanganya watu kuwa hajishughulishi na biashara ya unga na ukahaba kule Macau.

Kwa tunayejuwa haya masuala tulikuwa tunacheka tu. Jack ni malaya wa kujiuza, pusher, na kuwadi wa kuuza wenziwe watu wake wa karibu ndiyo walikuwa wasiri wake wakubwa.

Kama Vanessa anataka kubwigia sembe mbona anaweza sana kwa sababu kwenye rehearsal kuna break na anaweza kusema yupo kwenye mazoezi ila anafanya mavituz yake na watu aliyenao karibu ndio wasiri wake wakubwa.

Kumbuka, akufutae machozi when you are crying is the one who makes you cry. Yetu macho, Vanessa kama kweli anajitambua she has to stop dating this fool, Jux is a junk. Nasema haya because I care for that little girl, hata kama mimi ningekuwa baba wa Vanessa nisingeruhusu mwanangu atoke na pusher who uses my daughter for his gain.

Jux will never come here kusema kuwa yeye si pusher, we know him na nani anampa kichwa cha hizi dawa, mbona siyo siri?
 
Jamii Forum huwa naiogopa sana mambo yanaanza humu kama utani ila baada ya muda matokeo yanaonekana ,
Dr mwaka ilianzia huku huku kama tetesi hivi. Sijui ile thread ilianzishwa na kigwangala mwenyewe?
 
Dr mwaka ilianzia huku huku kama tetesi hivi. Sijui ile thread ilianzishwa na kigwangala mwenyewe?
Teh teh hakua Kingwangala mwenyewe ,jamaa si anatumia jina lake kabisa au ana ID nyingine ?
 
Kujitambua sio sababu ya kutovuta unga, unga wanakula wasomi wa PhD itakuwa Vanessa chief. Kuhusu kuwa na Weusi muda mwingi kumbuka katika hao weusi kuna member watatu wanakula unga Lord, Buu na Ibra japo utasema sio member wa weusi kwa sasa ila wameshinda wote mpaka kulala pamoja kwa miaka mingi huku wakitumia huo unga.

So lisemwalo lipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…