Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah,imenigusa sana hii stori ya huyu kijana,sipati picha maumivu mazito ambayo bimkubwa wake anayafeel kumtima,dah Mungu amsaidie huyo mtoto aongoke,la sivyo kina anti bilali watazidi kuwa wengi mitaani...na huyo baba ake cjui niseme Mungu amfanyeje uko akhera aliko,cjui ni amsamehe tu au amuadhibu accordingly!Mkuu hali ni mbaya sana mfano jana nilikua sehemu nasikiliza kesi hizi za kifamilia mama hamuelewi mwanae wa kiume wa miaka 15 mama anasema mwanae ana mambo mengi ya kike na amemtamkia mzazi wake kheri awe mwanamke kuliko kuwa wa kiume kaulizwa sababu akasema ameshazoea huo mchezo eti baba yake mzazi alianza kumfanyia hivyo since akiwa class 4 (now kamaliza class 7.)
Huyu kijana alikuwa anaishi na baba yake baada ya wazazi wake kutengana now baba ametangulia mbele ya haki kijana karudi kuishi na Mama yake!
Hataki kuendelea na secondary anataka kufanya kazi saloon ya kike!!
Visa ni vingi mno mno!
asubuhi hii nimeangalia movie ya mama mla unga nimechukia na kuuogopa sanalakini unga mtamu aisee...unaposniff unasikia raha mpaka vinyweleo vinasisimka...ukiwa na hela wala haukupi tabu ..south afica mpaka mawaziri wanatumia sana..
Hakuna kitu kama hicho, Vanessa hatumii...
Unakumbuka hata yule demu wa JUX si alikuwa anasema kuwa yeye ni model China na hatumii madawa wala kuyauza na hapendi watu wanaojishughulisha na biashara hizo. What happened to her in Macao? Naomba unipe jibu tafadhali....
Kwa Uchungu...basi nakuja funguwa na kuasisi NGO !! (rehblisheni) hope mema mbeleni...
Ya ubepariHarafu wasanii wanajiita kioo cha jamii kwa misingi ipi?
dah,imenigusa sana hii stori ya huyu kijana,sipati picha maumivu mazito ambayo bimkubwa wake anayafeel kumtima,dah Mungu amsaidie huyo mtoto aongoke,la sivyo kina anti bilali watazidi kuwa wengi mitaani...na huyo baba ake cjui niseme Mungu amfanyeje uko akhera aliko,cjui ni amsamehe tu au amuadhibu accordingly!
Hongera kwa kuanzisha ..japo hatujachelewa... Kunahitajika juhudi shirikisha na Moyo wa kusaidana..We just established one a month ago, tumepata vijana wengi sana mfano mpaka now tuko na vijana 28 ages between 17 mpaka 25 hawa wameathirika na powder chafu na gongo ( Pombe ya kienyeji). So far we are trying, karibu tusaidiane!
Basi yaishe mkuu..!!Unapenda kuona nyumba ya jirani yako ikiteketea? Binadamu wakiambiwa wapange mstari na wewe utaenda kupanga? Huwa unazunguka makaburini usiku?
jux humjui?Hilo jina kapuni nalitamani maana anayetoka naye kimapenzi anajulikana labda kama anao wengi.
MAT ni nini??Tunamkaribisha sana MAT.
Hell nah...Ku sniff Heroin/Musharafu ni bonge moja la risk.....labda uniambie anavuta kawaida au kujichoma.....Kama ni kweli ana-sniff basi siyo Heroin ni CocaineYule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.
Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.
Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.
Vanessa anajitambua sana huwezi mfananisha na jack
Unavyomuona Vanessa, licha ya kuwa mpenzi wa jux still muda mwingi yupo na nahreal na aika na sometimes yupo na weusi hiyo ndio campany yake, hawa watu wanasikilizana na kuheshimiana sana..
Unavyoyaona mafanikio ya vanessa mpaka hivi sasa, HANAGA MANAGER, MAMBO YOTE ANASIMAMIA YEYE MWENYEWE.. Ni mtu wa kusimamia sana, malengo yake although binadamu tunakumbana na vishawishi na tunaudhaifu, ila sio kwa vanessa kutumia madawa ya kulevya..
Kabla ya kujaji jiulize, je kuna supportive evidence yenye tija kutoka kwenye hayo maelezo ya mtoa mada??? au kwakuwa ni star, then baya lolote anaweza kufanya???
Dr mwaka ilianzia huku huku kama tetesi hivi. Sijui ile thread ilianzishwa na kigwangala mwenyewe?Jamii Forum huwa naiogopa sana mambo yanaanza humu kama utani ila baada ya muda matokeo yanaonekana ,
Teh teh hakua Kingwangala mwenyewe ,jamaa si anatumia jina lake kabisa au ana ID nyingine ?Dr mwaka ilianzia huku huku kama tetesi hivi. Sijui ile thread ilianzishwa na kigwangala mwenyewe?