mkuu hebu tupe kidogo kwa nini ukitumia hii kitu mwili unakongoroka, tupe uhusianoKwa wataalam huo mwili wa v.money jinsi ulivo anatumia powder kabisaaaa. Hakuna kificho hapo ... lakini naskia hata yule jamaa pale yanga naye pia.
Hivi jux anasomea nini huko uchinani,udaktari au mbona hatuoni graduation mwaka wa nne sasa...Kwa ile statement yake ya instagram ni wazi huyo betina ni nyoka,atakuwa kaingizwa mkenge na msomi asiyegraduate huko china.
From Adam to Jesus, Muhammad, hakuna Mtume wa Mungu amewahi kuimba muziki.
Hata wanawake wema akina Maria /Mariam etc.
Kuimba ni matendo ya kishetani, that's why it makes you HI
...
Haaaaa!!!!!Mbona wengi sio huyo tu mpk yule mwenye kinukta usoni..
Usiiogope mkuu..ni home of great thinkersJamii Forum huwa naiogopa sana mambo yanaanza humu kama utani ila baada ya muda matokeo yanaonekana ,
Sijaelewa mistari mitatu ya mwanzo ulichoandika, halafu hii methadone si ndo inatibu mateja vp nayo ipelekwe kwa kificho?Kuvuta watavuta sana kubeba ni ngumu mana maisha ya mapunda huwa mazuri....cz nw bei ya trip itakua imepanda maradufu cku hizi wengi wamehamia kupeleka methadone Sauzi Hongkong n Macau kuingia n mzigo ni ngumu
Kama sio siri mbona unafanya siri? Jana nimesikitika kumuona Nando yuko vile leo V mane hebu mtajeVanesa hanihusu and I have nothing against her ila ikumbukwe tu, the company you keep says a lot about you. Unataka kuniambia Jack alikuwa hajitambui? She knew who she was na ndiyo manna alikuwa anadanganya watu kuwa hajishughulishi na biashara ya unga na ukahaba kule Macau.
Kwa tunayejuwa haya masuala tulikuwa tunacheka tu. Jack ni malaya wa kujiuza, pusher, na kuwadi wa kuuza wenziwe watu wake wa karibu ndiyo walikuwa wasiri wake wakubwa.
Kama Vanessa anataka kubwigia sembe mbona anaweza sana kwa sababu kwenye rehearsal kuna break na anaweza kusema yupo kwenye mazoezi ila anafanya mavituz yake na watu aliyenao karibu ndio wasiri wake wakubwa.
Kumbuka, akufutae machozi when you are crying is the one who makes you cry. Yetu macho, Vanessa kama kweli anajitambua she has to stop dating this fool, Jux is a junk. Nasema haya because I care for that little girl, hata kama mimi ningekuwa baba wa Vanessa nisingeruhusu mwanangu atoke na pusher who uses my daughter for his gain.
Jux will never come here kusema kuwa yeye si pusher, we know him na nani anampa kichwa cha hizi dawa, mbona siyo siri?
Tusi force point mkuu.huyu demu inawezekana ikawa kweli maana kamechangamka mno ule uchangamfu wake sio wa kawaida
Iyo rehabilitation Center, utakuwa unakaaa nae getho kwako au?Kama yuko tayari, anakaribishwa kwenye rehabilitation center yangu nimpe matibabu for free
Itafahamika tu maana hata Chid Beenz alikuwa anabisha mpaka siku ile anaojiwa na Salama alikuwa anakuja juu kabisa Salama anampoza...Tusi force point mkuu.
Itafahamika tu maana hata Chid Beenz alikuwa anabisha mpaka siku ile anaojiwa na Salama alikuwa anakuja juu kabisa Salama anampoza...
Nando alibisha....Ray C alibisha akakimbilia mpaka Kenya kuvuta kwa uhuru.
T.I.D mpaka Kesho anabisha....Q.chillah alibisha yalipomzidi akaenda mwenyewe kuomba msaada kwa Muhonda.
Young D alibisha kweli kweli...na wote hao walikuwa kuna watu kama wewe wanawatetea.
Ila kikubwa kuvuta unga ni kama kupanda mnazi uhani kwako ukiwa mdogo utafanya siri ila ukishakuwa utaipita nyumba urefu na kila mtu atajionea.
Hee hee me nasubir mwendelezo wake tuUbuyu mtamu sana asee..!!
Unalala nae??Hakuna kitu kama hicho, Vanessa hatumii...
Young dee na,Vanessa ndi next bg social networks and midia kwa madawa na ndo more story kwa sasa social networksItafahamika tu maana hata Chid Beenz alikuwa anabisha mpaka siku ile anaojiwa na Salama alikuwa anakuja juu kabisa Salama anampoza...
Nando alibisha....Ray C alibisha akakimbilia mpaka Kenya kuvuta kwa uhuru.
T.I.D mpaka Kesho anabisha....Q.chillah alibisha yalipomzidi akaenda mwenyewe kuomba msaada kwa Muhonda.
Young D alibisha kweli kweli...na wote hao walikuwa kuna watu kama wewe wanawatetea.
Ila kikubwa kuvuta unga ni kama kupanda mnazi uhani kwako ukiwa mdogo utafanya siri ila ukishakuwa utaipita nyumba urefu na kila mtu atajionea.