Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

71596f53dbf8a82be88290d23afbc519.jpg
 
Kwa ile statement yake ya instagram ni wazi huyo betina ni nyoka,atakuwa kaingizwa mkenge na msomi asiyegraduate huko china.
Hivi jux anasomea nini huko uchinani,udaktari au mbona hatuoni graduation mwaka wa nne sasa...
Alafu huyu sista wake fatmaeight5 na mmewe mo siwaelewi pia,wanapata wapi pesa hawa maana ni bata tu,mmh
 
Hii habari ya matibabu bure ni ni.chanzo cha kuwahamasisha vijana watumie unga wakiamini wakiathirika watahudumiwa for free wakati kiukweli wanaliingiza gharama tu taifa utadhani walipata ajari wakati wameingia kwa utashi wao tena kwa gharama.kubwa. Rehabilitation centers zitoze pesa tena ya maana kuwatibu watu hawa na dawa ziuzwe bei kubwa ili wajue gharama ya kujidunga huko mbeleni. Niliwahi kukuta watu pale mlimani city wanahamasisha uchangiaji kwenye kituo flani cha waathirika wa madawa niliwaambia pale pale kama kuna aliyedungwa kwa nguvu wamlete nimtunze otherwise hao wanaoingia kwa hiari na gharama zao wajibebe!
 
From Adam to Jesus, Muhammad, hakuna Mtume wa Mungu amewahi kuimba muziki.
Hata wanawake wema akina Maria /Mariam etc.

Kuimba ni matendo ya kishetani, that's why it makes you HI
...

Daudi alikua mpiga kinubi/zumari. Elizabeth alimuimbia Maria alipotembelewa nae. 'Wimbo' ulio bora wa Suleiman ni muziki/mashairi. Kwaya na kaswida ni muziki.

Umechemka mjomba.
 
Kumbe kuanzisha rehabilitation & sober centers ni bonge la dili siku hizi eeh?ngoja nifanye mchakato wa kuifungua moja kwanza,itaitwa TEKNOLOJIA REHABILITATION CENTER.
 
Kuvuta watavuta sana kubeba ni ngumu mana maisha ya mapunda huwa mazuri....cz nw bei ya trip itakua imepanda maradufu cku hizi wengi wamehamia kupeleka methadone Sauzi Hongkong n Macau kuingia n mzigo ni ngumu
Sijaelewa mistari mitatu ya mwanzo ulichoandika, halafu hii methadone si ndo inatibu mateja vp nayo ipelekwe kwa kificho?
 
Vanesa hanihusu and I have nothing against her ila ikumbukwe tu, the company you keep says a lot about you. Unataka kuniambia Jack alikuwa hajitambui? She knew who she was na ndiyo manna alikuwa anadanganya watu kuwa hajishughulishi na biashara ya unga na ukahaba kule Macau.

Kwa tunayejuwa haya masuala tulikuwa tunacheka tu. Jack ni malaya wa kujiuza, pusher, na kuwadi wa kuuza wenziwe watu wake wa karibu ndiyo walikuwa wasiri wake wakubwa.

Kama Vanessa anataka kubwigia sembe mbona anaweza sana kwa sababu kwenye rehearsal kuna break na anaweza kusema yupo kwenye mazoezi ila anafanya mavituz yake na watu aliyenao karibu ndio wasiri wake wakubwa.

Kumbuka, akufutae machozi when you are crying is the one who makes you cry. Yetu macho, Vanessa kama kweli anajitambua she has to stop dating this fool, Jux is a junk. Nasema haya because I care for that little girl, hata kama mimi ningekuwa baba wa Vanessa nisingeruhusu mwanangu atoke na pusher who uses my daughter for his gain.

Jux will never come here kusema kuwa yeye si pusher, we know him na nani anampa kichwa cha hizi dawa, mbona siyo siri?
Kama sio siri mbona unafanya siri? Jana nimesikitika kumuona Nando yuko vile leo V mane hebu mtaje
 
Tusi force point mkuu.
Itafahamika tu maana hata Chid Beenz alikuwa anabisha mpaka siku ile anaojiwa na Salama alikuwa anakuja juu kabisa Salama anampoza...

Nando alibisha....Ray C alibisha akakimbilia mpaka Kenya kuvuta kwa uhuru.

T.I.D mpaka Kesho anabisha....Q.chillah alibisha yalipomzidi akaenda mwenyewe kuomba msaada kwa Muhonda.

Young D alibisha kweli kweli...na wote hao walikuwa kuna watu kama wewe wanawatetea.

Ila kikubwa kuvuta unga ni kama kupanda mnazi uhani kwako ukiwa mdogo utafanya siri ila ukishakuwa utaipita nyumba urefu na kila mtu atajionea.
 
Nimekuelewa kabisa mkuu na asante kwa maelezo zaidi.

Nisichokubaliana na wewe ni huo uchangamfu unaosema wewe.
 
Itafahamika tu maana hata Chid Beenz alikuwa anabisha mpaka siku ile anaojiwa na Salama alikuwa anakuja juu kabisa Salama anampoza...

Nando alibisha....Ray C alibisha akakimbilia mpaka Kenya kuvuta kwa uhuru.

T.I.D mpaka Kesho anabisha....Q.chillah alibisha yalipomzidi akaenda mwenyewe kuomba msaada kwa Muhonda.

Young D alibisha kweli kweli...na wote hao walikuwa kuna watu kama wewe wanawatetea.

Ila kikubwa kuvuta unga ni kama kupanda mnazi uhani kwako ukiwa mdogo utafanya siri ila ukishakuwa utaipita nyumba urefu na kila mtu atajionea.
Young dee na,Vanessa ndi next bg social networks and midia kwa madawa na ndo more story kwa sasa social networks
 
Back
Top Bottom