Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

Kabsa,usimpe mtu moyo wako,asiyeona thamani yako.Japokua ni ngumu kuanza upya lakini ni bora utoke kwa maumivu makali ila kesho yako ni njema kuliko toxic relationships.Kudos kwa homegirl saivi anajilia mema ya nchi.
Mimi mwenyewe ni mfano hai, najilia mema ya nchi tu sasa hivi.

2024 wanawake tuseme hapana kwa mahusiano nyonya damu.
 
Penzi la kweli unahakika ndugu..?
Huyo mchaga Kuna asilimia nyingi kafata maokoto huko maana mshikaji ni billionea dada yetu kaacha namuziki kwa visingizio kuwa haulipi na unamgharimu!.. sijui kina ladyjaydee wasemeje!
 
Nilisikiaga ma don sehemu wanamsifia Vanesa kuwa fundi sana kitandani na mtundu mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…