Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

Mkuu, tayari Mungu ameniwekea mkono kwa mwanaume bora.

Sikutaka kujikweza, ila nimebarikiwa zaidi ya ninavyoweza kueleza.
Kwahiyo kumbe ulikua unawakebehi kiana Ke wenzio. Yan kama unataka kumbe hutaki? 😂
 
Mwezi April tutatimiza miaka 45 ya kuwa pamoja [emoji120]

Siri ni Moja Mkuu, kujifanya Bubu

Mkijidai Kila mmoja yupo juu ya mwenzie hamtachukua hata Mwaka mtakuwa mmeshagawana Vyumba
Waoooooo
Masha Allah
Hongera
 
Waoooooo
Masha Allah
Hongera
Shukrani sana 🙏🙏

Kuna wakati unaamua kujishusha ili Siku ziende, sio kwamba inaondoa uanaume wako ila tunafanya hivyo kwaajili ya mapenzi tu.

Wanasema unakutana na Siku mbaya Kazini 🤗
 
Huku mjini nimeamua kuwa single Babu
Hawa vijana wenu hawaeleweki
Ngoja kwanza 😅😅😅
Kama ndivyo, kesho tutaitisha kikao cha Wazee ili tujadili na kupokea mahari Yako iliyoletwa na Kijana wa nyumba ya jirani.

Usituangushe Mjukuu 😜
 
Kama ndivyo, kesho tutaitisha kikao cha Wazee ili tujadili na kupokea mahari Yako iliyoletwa na Kijana wa nyumba ya jirani.

Usituangushe Mjukuu 😜
🤣🤣🤣Naona huko ndo Kuna wanaume huku marioo ndo wengi
Wanatuita mashangazi
 
🤣🤣🤣Naona huko ndo Kuna wanaume huku marioo ndo wengi
Wanatuita mashangazi
Nimewahi kumsikia Msanii anaitwa Marioo huko DSM, ina maana huyo Marioo ana wadogozake wengi hivyo Mjini 😜

Na how comes wakuite Shangazi wakati hujafika hata miaka 25 Mjukuu

Fanya uje tu Kijijini uolewe na huyu mtoto wa jirani, kwanza kwao Wana ng'ombe nyingi pamoja na mashamba 🤗
 
🤣🤣🤣🤣Sshv Mario wapo wa kutisha...
Wanataka mwanamke uwe na hela ndo wanakuoa
 
🤣🤣🤣🤣Sshv Mario wapo wa kutisha...
Wanataka mwanamke uwe na hela ndo wanakuoa
Mambo ya haki sawa 50/50 hayo 😜

Mbona jukumu la Mwanamke linajulikana tangu Edeni kuwa ni kuzaa na Mwanaume Kula Kwa Jasho.

Mimi nitahudumia Kila kitu ila utanizalia asubuhi na Mchana.

Ilikuwa formula yetu Wazee miaka ile 🤗
 
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom