Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

Kweli unaweza kudate na Mwanaume ama Mwanamke hata miaka 30, kama hajaona Future kwako hawezi kukubali uwe akuzalie ama umzalishe.

Pamoja na kudate na Jux miaka zaidi ya 7 lakini hakuweza kumbebea hata Mimba ya Uongo, lakini kwa Rotimi amedate naye mwaka 1 na Mimba Juu 🙌
 
Ishu ni maokoto tu, we ndoa na msanii wa bongo na msanii wa ulaya ungechagua lipi? 🤣
 
Ni sahihi Mkuu

Ndiyo maana wanasema Mwanamke ana akili ya kuona mbali mara 2 zaidi ya Mwanaume.

Maana huyo Vanessa amedate na Jux miaka mingi lakini hata kumsingizia mimba ya bahati mbaya hakuthubutu

Wakati kwa Rotimi ile kuweka tu Imoo 🤪
 
hmm, kwenye maokoto hakuhitaji akili ya kuona mbali, ukigoogle Rotimi's net worth majibu chap
bibie anasitisha matumizi ya P2 papo hapo
Hahahaha.....................umesema sahihi Mkuu.

Ni kama hapa Bongo Wadada wanavyowinda kumbebea Mimba Diamond, yaani akijichanganya kupiga peku baada ya wiki 2 bibie anamwambia hazioni siku zake 🤪

Ila all in all Bibie amejua Kulenga kwenye Maokoto 🙌
 
Laiti ungeijua personality yangu hiyo Aya ya kwanza ungeifuta!

Wakati nafungua Uzi sikuwa hata najua kama Vanessa na huyo mshikaji Wana watoto wawili na sijui kama waligomea kutoa picha za watoto wao na hata Lile wazo la kusema nitakuwa namashaka na mtoto yoyote!.. baada yakuangalia picha ndio nikaona mfanano kabisa ni ikanijia picha ya mshikaji! Haihitaji jitihada kubwa kuona mfanano jicho lakawaida kabisa linatosha!. But anyway mambo yao ni yakwao sipendi kuchukua muda sana kwenye mambo ya watu kile kiliwe watajua wenyewe ila mwamba ajue anadate na mchaga ..[emoji1787]
Yule ni mpare sio mchaga
 
Dah kweli una experience maana huwezi kujua haya hivihivi.

Ukitumiwa gazeti unajipinda kujibu gazeti, hakuna kujibu short unakata stim.
Kuna siku huwa tunachat kutwa nzima hadi usiku na vya kuongea haviishi! Lols
Mmmmh,mm siwezi utaniacha bure
 
Ishu ni maokoto tu, we ndoa na msanii wa bongo na msanii wa ulaya ungechagua lipi? [emoji1787]
Si wanasema jux kwao mambo safi ila ndio hivyo hakuona future kwa jux,ni kama yule mrs Mengi alikua anadate na yule mshikaji wa Moro wa kuitwa mb doggy but hakuona future kwake akajiongeza kwa Mengi
 
Mb Doggy yule msanii?
 
Huyo mtoto wa kiume kafanana sana na Jux !
Kila lenye kheri kwao!
Wanaendana
 
Eti wanasema mpua wa shemeji rotimi unaharibu watoto[emoji24]
 
Laiti ungeijua personality yangu hiyo Aya ya kwanza ungeifuta!

Wakati nafungua Uzi sikuwa hata najua kama Vanessa na huyo mshikaji Wana watoto wawili na sijui kama waligomea kutoa picha za watoto wao na hata Lile wazo la kusema nitakuwa namashaka na mtoto yoyote!.. baada yakuangalia picha ndio nikaona mfanano kabisa ni ikanijia picha ya mshikaji! Haihitaji jitihada kubwa kuona mfanano jicho lakawaida kabisa linatosha!. But anyway mambo yao ni yakwao sipendi kuchukua muda sana kwenye mambo ya watu kile kiliwe watajua wenyewe ila mwamba ajue anadate na mchaga ..[emoji1787]
Sio mchaga ni mpare

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom