Vanessa Mdee na Rotimi Watarajia kupata Mtoto wa Kiume

Vanessa Mdee na Rotimi Watarajia kupata Mtoto wa Kiume

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Exclusive kabisa Vanessa Mdee na Rotimi wapata mtoto wa kiume baada ya kuficha kwa miezi mingi.

===

1631082046353.png

Staa Vanessa Mdee na mchumba wake, Rotimi kupitia mitandao ya kijamii wa Instagram wameposti ujumbe unaoshiria kuwa wanatarajia kupata kupata mtoto wa kiume hivi karibuni.

Hayo yamebainika leo Jumanne Septemba 7, 2021 kupitia kurasa zao ambapo kwa nyakati tofauti waliposti picha mbalimbali zikimwonyesha Vanessa kuwa mjamzito.

Mahusiano ya wawili waliyaweka wazi mwaka 2019 ikiwa ni miezi michache tangu alipoachana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, msanii wa Bongo fleva, Juma Jux.

Wawili hawa waliamua kuyaweka wazi mahusiano yao mwaka 2019 na Desemba 2020, Rotimi ambaye ni mwanamuziki na muigizaji mwenye makazi yake nchini Marekani, alimvalisha pete mrembo huyo.

Licha ya nyakati tofauti kuwepo kwa tetesi za kuwa mjamzito, Vanessa alikanusha hilo na kuwalaumu waliokuwa wanasema hilo kuwa wamesababisha mama yake kupaniki.

Mwananchi
 
Hongera zake kawasha moto hadi kime elewekaa.

Maana mdogo wangu Jux bado anang'ata ulimi.Na kulegeza midomo na sauti kashindwa kumtandika Dem vanesa Mkuyengee wakuelewekaa.

Any way... Ndo life la mtu.
 
Wakati wa Mungu !!!!.......ipo siku Jux naye atatrend na mama kijacho wake
 
Asee kweli duniani tupo tofauti,kumbe kuna watu story za aina hii wanazipenda.
 
Kumbe kizazi cha Vanessa kilikuwa Ok
Kwamba???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom