mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Watoto wa mjini wanasema alikuwa anajilambalamba lips tu badala ya kumpelekea moto [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa mjini wanasema alikuwa anajilambalamba lips tu badala ya kumpelekea moto [emoji3]
Ni kweli lakini umekuwa mfumo wa mastaa kuzaa Kwanza ndipo kupost Kuwa wanatarajia kuzaaTeknolojia imekua,unaweza kujua jinsia ya mtoto hata kabla ya kuzaliwa
Inamsaidia kuchangia Tozo kupitia mitandaoHii habari inamsaidia nini Mtanzania?
Eti wanamkomoa Juma JuxHii mimba mbona imetrend sana? Ilisemekana vee hashiki mimba au???
😃😃 Hahahahha jamani.Eti wanamkomoa Juma Jux
Ila Jux angekuwa Mhehe tungekuwa tunasema mengine😃😃 Hahahahha jamani.
Kwamba?😁Ila Jux angekuwa Mhehe tungekuwa tunasema mengine
J angekuwa Mhehe tungezungumza mengine 🤣🤣🤣Kwamba?😁