Watoto wa mjini wanasema alikuwa anajilambalamba lips tu badala ya kumpelekea moto [emoji3]
Ni kweli lakini umekuwa mfumo wa mastaa kuzaa Kwanza ndipo kupost Kuwa wanatarajia kuzaaTeknolojia imekua,unaweza kujua jinsia ya mtoto hata kabla ya kuzaliwa
Inamsaidia kuchangia Tozo kupitia mitandaoHii habari inamsaidia nini Mtanzania?
Eti wanamkomoa Juma JuxHii mimba mbona imetrend sana? Ilisemekana vee hashiki mimba au???
ππ Hahahahha jamani.Eti wanamkomoa Juma Jux
Ila Jux angekuwa Mhehe tungekuwa tunasema mengineππ Hahahahha jamani.
Kwamba?πIla Jux angekuwa Mhehe tungekuwa tunasema mengine
J angekuwa Mhehe tungezungumza mengine π€£π€£π€£Kwamba?π