mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Kati yA wasanii wenye Bahati mbaya Ni Vanessa anajitahidi dunia imjue lakini hana mziki wa kumtambulisha jide akitoa muziki mmoja tu HATA mtoto mdogo anaimba na shauri aache mziki ajaribu utangazaji
Vanessa ndo nani?
Tukubali tukatae ila msanii wa kike Vanessa Mdee ndiyo queen wa R&B na music wa kizazi kipya East Africa kwa sasa.
Kwa niaba ya jamiiforums nampa hongera na tunamtakia kila la heri.
Kati yA wasanii wenye Bahati mbaya Ni Vanessa anajitahidi dunia imjue lakini hana mziki wa kumtambulisha jide akitoa muziki mmoja tu HATA mtoto mdogo anaimba na shauri aache mziki ajaribu utangazaji
Anaimba vizuri, ila hamfikii jay dee.Nadhani hana utambulisho kama wenzake kimataifa
Apunguze zile make up naye, anakuwaga kama kachorwa sasa.
Kidawaaaaaaa, hebu lete gobole langu kuna mtu anamlinganisha JIDE na katoto flani.