Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Tukubali tukatae ila msanii wa kike Vanessa Mdee ndiyo queen wa R&B na music wa kizazi kipya East Africa kwa sasa.

Amefanikiwa kuondoa utawala wa Lady Jaydee kwa muda mrefu.

Kwa sasa ndiyo msanii anayepata airplay kuliko wasanii wote East Africa kwenye channel za kimataifa na wimbo wake hatari sana "nobody but me".

Mwana muziki huyu ambae ni mwanasheria kitaaluma music wake na uimbaji wake una standards za kimataifa unaweza kupenya popote.

Kwa niaba ya jamiiforums nampa hongera na tunamtakia kila la heri.
 
Maswali mengi najiuliza.....kipi nimefanya kupendwa naye, nobody but me, me, me...
Hahahaaa hapa nimemuelewa sana Vanessa,ni kama kaniimbia mimi huu wimbo!
Kwi kwi kwi!
 
Alipoanzaga kwa kushirikishwa na Ommy Dimpoz niliamini kaotea, ila jinsi alivyoanza kuachia mangoma yake nikaanza kumuamini taratibu. Sahivi sina wasiwasi naye tena, alishaniprove wrong maana hajawahi kukosea iwe kwenye wimbo wake au wa kushirikishwa. Mfano kwenye wimbo wa SAFARI wa Nikki wa Pili kawapoteza wote kwenye chorus, naunga mkono hoja she is the best kwa sasa
 
Kati yA wasanii wenye Bahati mbaya Ni Vanessa anajitahidi dunia imjue lakini hana mziki wa kumtambulisha jide akitoa muziki mmoja tu HATA mtoto mdogo anaimba na shauri aache mziki ajaribu utangazaji

nyimbo alizoachia jide baada ya bifu lake na ruge kupoa unazijua wewe?hembu nitajie
 
Ana figure nzuri kama girlfriend wangu,mwenye kubisha nitamwekea picha hapa

Ila waafrica wanaoimba kwa lugha za wengine kama english huwa hawasikiki,ila utashangaa wanaoimba kilugha huwa ndo wanasikika sana huko nje
 
Kwa niaba ya nani? Ebu tutolee upuuzi wako, jide alikuwepo na atakuwepo, acha kumfananisha na vikaragosi
 
Kati yA wasanii wenye Bahati mbaya Ni Vanessa anajitahidi dunia imjue lakini hana mziki wa kumtambulisha jide akitoa muziki mmoja tu HATA mtoto mdogo anaimba na shauri aache mziki ajaribu utangazaji

Ebu waambie matahira hao wanaomfananisha jide na huyo kibwengo wao
 
Anaimba vizuri, ila hamfikii jay dee.Nadhani hana utambulisho kama wenzake kimataifa
Apunguze zile make up naye, anakuwaga kama kachorwa sasa.

Ebu baambie bachawi hao, jide ni moto mwingine ule, alishashindikanaga wamuache tu kama alivyo, watu na nyota zao
 
Back
Top Bottom