mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Vannessa anatisha!! Mwanamziki gan wa kike Tanzania umeona nyimbo yake inapigwa TRACE.MTV au Channel? Sidhani kama Jdee nyimbo zake zimewahi kupigwa huko zaidi ya East Africa tu.
Vanessa ndo nani?
Kwa kumwambia tu mleta mada,mimi siongei kiushindani hapa ila Lady Jaydee ama komando kama anavyojiita kamuacha miles 1,000,000,000,000,000,000,000,000 Vanessa Mdee.
Tangua aanze kufanya muziki mwanzoni mwa miaka ya 2000 Jide hajawahi kukosa kuchukua tuzo.
Kitu kimoja ni kwamba,pamoja na uchezaji wake wote mpira na kuvunja rekodi mbali mbali kwa ufungaji magoli Lionel Messi,lakini bado Pele mfalme wa soka duniani anakwambia kuwa endapo Messi atatwaa makombe matatu ya dunia na kufunga magoli 1200+ hapo ndio atazungumza na si sasa.
Vanesa hajachukua tuzo hata moja tangu aanze muziki,si hapa nyumbani wala nje ya mipaka yetu. Huwezi kumuweka kundi moja na jide.
Anajua lakini hajafika,maybe siku jide afe (Mungu amuepushe)...
"Nlikuwepo":bolt:
Haha umeandika licomment lireeefu halafu huna data, Vanesa ana tuzo both ndani na nje ya nchi
Kwa kumwambia tu mleta mada,mimi siongei kiushindani hapa ila Lady Jaydee ama komando kama anavyojiita kamuacha miles 1,000,000,000,000,000,000,000,000 Vanessa Mdee.
Tangua aanze kufanya muziki mwanzoni mwa miaka ya 2000 Jide hajawahi kukosa kuchukua tuzo.
Kitu kimoja ni kwamba,pamoja na uchezaji wake wote mpira na kuvunja rekodi mbali mbali kwa ufungaji magoli Lionel Messi,lakini bado Pele mfalme wa soka duniani anakwambia kuwa endapo Messi atatwaa makombe matatu ya dunia na kufunga magoli 1200+ hapo ndio atazungumza na si sasa.
Vanesa hajachukua tuzo hata moja tangu aanze muziki,si hapa nyumbani wala nje ya mipaka yetu. Huwezi kumuweka kundi moja na jide.
Anajua lakini hajafika,maybe siku jide afe (Mungu amuepushe)...
"Nlikuwepo":bolt:
Mkuu vanesa amechukua tuzo wimbo bora wa chipukizi rnb 'closer' kili music mwaka jana, though bado hawez kukaa meza moja na jide, ila ni msanii mzuri pia
Nipatie data,naweza nikawa nabisha kitu ambacho sikijui.
"Nlikuwepo":bolt:
nyimbo alizoachia jide baada ya bifu lake na ruge kupoa unazijua wewe?hembu nitajie
Vannessa anatisha!! Mwanamziki gan wa kike Tanzania umeona nyimbo yake inapigwa TRACE.MTV au Channel? Sidhani kama Jdee nyimbo zake zimewahi kupigwa huko zaidi ya East Africa tu.
Yaaani unafananisha panya na tembo!! Haufaham mziki vizuri