Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

Kiukwely jide kafunikwa saiv kimziki. Na nikwasababu amevurugana tu kdgo na ruge. Some how imemshusha flani. Ingawa sio saaaaana kiwastani tuuuu. Vanessa ni star. I support aliyesema kwamba mziki wake unaoneshwa sehemu nyingi ukilinganisha na jide. Na anajua kuimba whether you like it or not. Sema the different ni kwamba jide atabaki kuwa legendary tuuuu. Na Vanessa anatakiwa kumadress hivyo. Hapa mnachotaka kucompare ni kama rihanna na Celine Dion. Je Vanessa angevuma pmja na jide pmja ingekuwaje? Hapo ndo mngesema kamfunika au VP. Ila kinachotokea saiv ni both wanahit kwa nyakati zao tena very different. Ila Huyo hater Wa Vanessa kumfananisha na shilole jmn hapana. Usimchukie kiivyo. Without a doubt shilole anaforce kuimba na imemjenga mpk sasa watu wanaanza kumkubali. Lkn Vanessa ile kitu ni natural. No forcing. Anaweza kuimba bila instrumental shishi anaweza hiyo?
 
Hapo juu upo sawa kabisa ila tukiongea kuhusu Shilole yule sio mwanamuziki hajui kuimba anasauti mbaya sana me sielewi in which way she could be categorized as a musician sababu hata kuimba haelewi .

Pia Vanessa yupo juu kwa wakati wake its may be her time to be heard but never to compare with legendary G.DE huwezi kumlinganisha jamani na Vanessa japo Vanessa is Good too.
 
Vannessa anatisha!! Mwanamziki gan wa kike Tanzania umeona nyimbo yake inapigwa TRACE.MTV au Channel? Sidhani kama Jdee nyimbo zake zimewahi kupigwa huko zaidi ya East Africa tu.

Huko nako vigezo vyao wanavujua wenyewe tu.
Kama Ife wa gbona wa Tiwa Savage, Kissing ya Yemi Alade zinapigwa, but sijawahi kuiona Ole Themba ya Linah. Kuna vipi spesheli ambavyo hizo nyimbo zinaizidi ya Ole Themba??

Kule na nyimbo zingine hata haziiko kivile ila zinapigwa tu, maybe tuseme na vile msanii anajipromote inachangia!
 
Jide is a Legend, Vannesa is currently the best. Inafurahisha mtu akibebwa akabebeka, sio kama wakina Shilole wanaohit kwa umalaya
 
Anajuwa ila kwa jide anasubiri sana bana Jide level nyingine kabisa ingawa nyimbo zake hazipigwi Uko MTV na TRACE mnazoziabudu mno
 
Kwa kumwambia tu mleta mada,mimi siongei kiushindani hapa ila Lady Jaydee ama komando kama anavyojiita kamuacha miles 1,000,000,000,000,000,000,000,000 Vanessa Mdee.
Tangua aanze kufanya muziki mwanzoni mwa miaka ya 2000 Jide hajawahi kukosa kuchukua tuzo.
Kitu kimoja ni kwamba,pamoja na uchezaji wake wote mpira na kuvunja rekodi mbali mbali kwa ufungaji magoli Lionel Messi,lakini bado Pele mfalme wa soka duniani anakwambia kuwa endapo Messi atatwaa makombe matatu ya dunia na kufunga magoli 1200+ hapo ndio atazungumza na si sasa.
Vanesa hajachukua tuzo hata moja tangu aanze muziki,si hapa nyumbani wala nje ya mipaka yetu. Huwezi kumuweka kundi moja na jide.
Anajua lakini hajafika,maybe siku jide afe (Mungu amuepushe)...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Haha umeandika licomment lireeefu halafu huna data, Vanesa ana tuzo both ndani na nje ya nchi
 
Edit
Won:

2000- Multi Talented Award (CLOUDS FM)[1]
2001 -M-Nets Best Female Artist from Tanzania[2]
2002 - Tanzania Music Awards - Best Female Artist ("Machozi")
2002 - Tanzania Music Awards - Video of the Year ("Machozi")
2003 Channel O Video Music Awards -Best African East ("Machozi")
2003 - Tanzania Youth Archievement Awards for Best RnB single ("Usiusemee Moyo")
2004 Tanzania Music Awards - Best R&B Album ("Binti") [3]
2005 - Channel O Video Music Awards - Best Video East Africa (" Distance")
2005 - Channel O Video Music Awards - Best Collaboration Video (" Makini") with Titi from Uganda[4]
2005 - BBC Radio Awards - Song of the Year ("Distance")
2006 Pearl of Africa Music Awards - Best Female (Tanzania)[5]
2007 Tanzania Music Awards - Best Collaboration ("Hawajui"), with Mwanafalsafa [6]
2007 Pearl of Africa Music Awards - Best Female Artist (Tanzania) [7]
2008 Tanzania Music Awards - Best Female [8]
2008 Pearl of Africa Music Awards - Best Female Artist (Tanzania)[9]
2008 Kisima Music Awards - Song of the Year Tanzania ("Anita" with Matonya) & Collaboration of the Year ("Anita" with Matonya) [10]
2009 Tanzania Music Awards - Song of the Year ("Anita" with Matonya) & Best Collaboration ("Anita" with Matonya) [11]
2010 - Pearl Music Awards - Best Female Artist from Tanzania
2010 Tanzania Music Awards - Best Female Singer[12]
2011 Fiesta Hall of Fame Award
2011 Pearl Music Award - Best Female Artist from Tanzania
2011 Tanzania Music Awards - Best Female Artist & Best Song ('Nitafanya' with Kidumu)[13]
2011 Uganda Divas Awards - Best Female Artist from Tanzania
2012 Tanzania Music Awards - Best Female Singer[14]
2012 - Baab Kubwa Magazine Awards - Best Female Artist in Tanzania
2013 - Tanzania Music Awards - Best Female Artist
2014 - Tanzania Music Awards - Best Female Singer
2014- Tanzania Music Awards - Best Zouk/ Rhumba Song (" Yahaya")
2014 - Tanzania Peoples Choice Award - Favourite Female Music Video ("Yahaya")
2014 Africa Magazine Muzik Awards - Best Female Artist East Africa
2015 Kenya Bingwa Music Awards - East African Song of the Year ("Yahaya ")
Nominated:

2003 Kora Awards - Most Promising African Female [15]
2005 Kora Awards - Best Female Artist From Eastern Africa [16]
2006 Channel O Music Video Awards - Best collaboration video ("Njalo" with Mina Nawe) [17]
2010 Tanzania Music Awards - Best Song Writer, Best Music Video ('Natamani Kuwa Malaika')
2011 Tanzania Music Awards - Best Female Singer[18]
2012 Tanzania Music Awards - Best Video ('Wangu' with Mr Blue), Best Zouk/Rhumba Song ('Wangu' with Mr Blue), Best Collaboration Song ('Wangu' with Mr Blue), Best Hip Hop Song ('Kilimanjaro' with Joh Makini & G Nakoo)

"Nlikuwepo":bolt:
 
Haha umeandika licomment lireeefu halafu huna data, Vanesa ana tuzo both ndani na nje ya nchi

Nipatie data,naweza nikawa nabisha kitu ambacho sikijui.

"Nlikuwepo":bolt:
 
mwanzoni nilikuwa namwona Vanessa yupo yupo tu, ila kwa sasa hivi she is my best kwa wasanii wa kike
 
Kwa kumwambia tu mleta mada,mimi siongei kiushindani hapa ila Lady Jaydee ama komando kama anavyojiita kamuacha miles 1,000,000,000,000,000,000,000,000 Vanessa Mdee.
Tangua aanze kufanya muziki mwanzoni mwa miaka ya 2000 Jide hajawahi kukosa kuchukua tuzo.
Kitu kimoja ni kwamba,pamoja na uchezaji wake wote mpira na kuvunja rekodi mbali mbali kwa ufungaji magoli Lionel Messi,lakini bado Pele mfalme wa soka duniani anakwambia kuwa endapo Messi atatwaa makombe matatu ya dunia na kufunga magoli 1200+ hapo ndio atazungumza na si sasa.
Vanesa hajachukua tuzo hata moja tangu aanze muziki,si hapa nyumbani wala nje ya mipaka yetu. Huwezi kumuweka kundi moja na jide.
Anajua lakini hajafika,maybe siku jide afe (Mungu amuepushe)...

"Nlikuwepo":bolt:

Mkuu vanesa amechukua tuzo wimbo bora wa chipukizi rnb 'closer' kili music mwaka jana, though bado hawez kukaa meza moja na jide, ila ni msanii mzuri pia
 
Mkuu vanesa amechukua tuzo wimbo bora wa chipukizi rnb 'closer' kili music mwaka jana, though bado hawez kukaa meza moja na jide, ila ni msanii mzuri pia

Sijabisha kama vanessa si msanii mzuri kwa sasa,ila kumfananisha na jide ni kosa tena kubwa sana.
Na kikubwa ni pale anaposema akabidhiwe kijiti.. Kila mtu atafute chake kwani jide alikipokea kutoka kwa nani.
Nampenda sana Vanessa ila kwenye ukweli nakaa nae pembeni,akifika alipo jide nitakuwa upande wake always.

"Nlikuwepo":bolt:
 
nyimbo alizoachia jide baada ya bifu lake na ruge kupoa unazijua wewe?hembu nitajie

Sijakuelewa mkuu..unataka kusema bifu la jide na clouds ndo lililomuweka jide juu kimuziki ama??
 
Vannessa anatisha!! Mwanamziki gan wa kike Tanzania umeona nyimbo yake inapigwa TRACE.MTV au Channel? Sidhani kama Jdee nyimbo zake zimewahi kupigwa huko zaidi ya East Africa tu.

Hahaha we jamaa kichwa boksi hivi umeandika ww au umeandikiwa ama kweli we ni mburura
 
Back
Top Bottom