Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

Vannessa anatisha!! Mwanamziki gan wa kike Tanzania umeona nyimbo yake inapigwa TRACE.MTV au Channel? Sidhani kama Jdee nyimbo zake zimewahi kupigwa huko zaidi ya East Africa tu.

Vanessa ana tuzo gani ya kimataifa mpaka sasa?
 
Mkuu nimetaka kujua uzuri wa wimbo..haijalishi ni mipasho au vipi..unachotaka kusema bifu ndo limefanya nyimbo ionekane nzuri au??..hiyo yahaya hadi watt wadogo walikuwa wanaimba..nao hao walikuwa wanajua wimbo katungiwa mtu fulani?

Kwan bila bifu huo wimbo angeutunga?
 
Jide ni chuma cha reli, vannesa ajipange tu kutoka kivyake ila level za jide atazisikia kwenye bomba, wamekuja wasanii wenye sauti kama kasuku ila wamedunda kwa jide, inshort wamuache kabisaaaa

Tatizo mnakariri historia na hamjui kutofautisha wakati uliopita,uliopo na ujao.
Siku hazigandi(hayo maneno yake jide)
 
Ukweli ni kwamba, hivi sasa Vanessa yupo juu sana na akiendelea na style yake yenye vionjo vya asili, atazidi kufunika.
 

Alichukua mwaka Jana ya kili awards
 
Jide ni chuma cha reli, vannesa ajipange tu kutoka kivyake ila level za jide atazisikia kwenye bomba, wamekuja wasanii wenye sauti kama kasuku ila wamedunda kwa jide, inshort wamuache kabisaaaa

Warumi u are one of this pple ambao no matter nipo wrong au vp nitasimamia uongo wangu. Jide alikuwepo kwa wakati wake na she did great. Aliinua watu kimziki akafanya yake na akatambulisha mziki kitaifa. Na kimataifa. Ametuwakilisha vzr sana. Na she is talented. Ana msimamo anajielewa. Na amefanya watu wasione mziki ni uhuni na pia mziki ni ajira ukiitumia vzr you can become someone. So with all that atabaki kuwa our legendary we respect her for that. Ila kwa sasa wamevuma mwingine ndo kina Vanessa hao sasa. Huwezi kuwa kompare hawa watu wawili koz hawajaanza mziki pmja. Ila katika mda mfupi v kaonesha anayaweza. Kupewa kijiti ni a good sign kwamba kaona anaweza. Sio kamfunika mbona ipo poa tuuuu.
 
Kwan bila bifu huo wimbo angeutunga?

Naona unajaribu kukimbia swali..sijui kama bila bifu angetunga au la..ninachojua yahaya ni wimbo unaoakisi maisha ya baadhi ya watu.( na hiyo ni moja ya kazi ya sanaa).na binafsi nilikuwa sijui kama katungiwa mtu..ila thnx kwa kunipa hizo info..lakini nyimbo zote unazozisikia ni matokea ya kile mtunzi alichoona,kusikia au kupitia katika maisha yake ya kila siku..so hata kama hizo nyimbo Jay dee aliziimba kutokana na kile alichokiona/kupitia still sio dhambi..swali langu ni je bifu ndo imefanya nyimbo zionekane nzuri??
 

Jide yuko vizuri sana sikuzote hilo halina ubishi, ila si unajua mziki sio kama biashara nyingine, kuna kipindi mashabiki wanapoteza mvuto na wewe hata kama unatoa vitu vikali, hakuwa midomoni mwa watu kwa kipindi hicho na hakuwa na hit yoyote but bifu lilimpa kick kila ngoma aliyotoa kwa wakati huo ilikuwa succesful, watu wengi walikuwa upande wake. Baada ya bifu kupoa kila ngoma anayotoa inafail
 

Asante...!
 
Ona sasa, mmewagombanisha Diamond na Alikiba hamjatosheka mnataka kumgombanisha vanessa na jdee, mashabiki imefika wakati tuwe makini katika kuwalinganisha wasanii, kila msanii anakitu anacho mzidi mwenzake banaaa
 
Mkuu nimetaka kujua uzuri wa wimbo..haijalishi ni mipasho au vipi..unachotaka kusema bifu ndo limefanya nyimbo ionekane nzuri au??..hiyo yahaya hadi watt wadogo walikuwa wanaimba..nao hao walikuwa wanajua wimbo katungiwa mtu fulani?

Vanessa afananishwe na akina Linah, Mwasiti labda hao lakn sio Jide!


Jide moto mwingine ule!!!
 
Vanessa anamfunika jide vizuri. Laiti ray c asingeingia kwenye unga angeenda sawa na jide. Maunda nae alikuwa yuko vizuri, linah pia yupo sawa. Lakini Vanessa ni full package
 
Nikupeleke mpulanga talata, sumu kwetu ni talaka, bongo to jos palapa... Nimeuelewa sana wimbo wa kinyamwenga, madude yakuskiza kwenye ndinga yamekuwa hadimu sana bongo thanks kwa vmoney kutupa kitu kikali kama hiki.

Jide aendelee kupiga ramli za kupata mume, atuache kwanza tupate burudani.
 

Sometimes unanichekeshaga sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…