Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

Sijakuelewa mkuu..unataka kusema bifu la jide na clouds ndo lililomuweka jide juu kimuziki ama??

Kwa kipindi kile yes bifu ilimrudisha kwenye chati,kabla ya bifu alikuwa ashaanza kufifia,sahivi kafifia tena maana katoa nyimbo kama 3 zote hazijafanya vizuri
 
Namkubali sana v-money..ila naamini hata yeye ukimuuliza kuwa ye ni mkali kuliko jide atakwambia hapana...

hujamuelewa mtoa mada, ni kama kwenye mpira Thibaut Courtois wa Chelsea anapompigisha bench Peter Cech, hii haimaanishi kwamba Courtois ni bora kuliko Cech bali kwa wakati huu Courtois yuko vizuri kuliko Cech, Cech heshima yake inabakia palepale kama Legend wakati Courtois ndo yupo kwenye mda wa kuutafuta ulegend (ingawa anaweza asiufikie).Mwisho wa siku unaweza kujaji nani ni bora kila mmojawapo atapofikia mwisho wa career yake. Sorry kama sio shabiki wa soka ntakuwa nimekuacha
 
Kipindi kipi boy?? Bifu la jide na clouds ni la muda mrefu.au.unazungumzia baada ya jide juzi juzi hapa kuongea kwenye media?
 
Lady Jaydee ni Legendary.... Vannessa anafanya vyema lakini mileage za Lady Jaydee na mafanikio yake kwa miaka 15 mfululizo ktk muziki si sawa kumfananisha na huyo dogo. Labda tuwe specific nini tunashindanisha.
 
hujamuelewa mtoa mada, ni kama kwenye mpira Thibaut Courtois wa Chelsea anapompigisha bench Peter Cech, hii haimaanishi kwamba Courtois ni bora kuliko Cech bali kwa wakati huu Courtois yuko vizuri kuliko Cech, Cech heshima yake inabakia palepale kama Legend wakati Courtois ndo yupo kwenye mda wa kuutafuta ulegend (ingawa anaweza asiufikie).Mwisho wa siku unaweza kujaji nani ni bora kila mmojawapo atapofikia mwisho wa career yake. Sorry kama sio shabiki wa soka ntakuwa nimekuacha

U don't nid to be srry bro..we r on the same page..ila binafsi sidhani kama courtois yuko vizuri kivileee kuliko cech..nadhani chelsea wana future nae ukizingatia kuwa bado ni mdogo,ndo mana wanampa game nyingi ili azidi kugain experience..so mfano wako nashindwa kuuwianisha na mada husika
 
ndo maana yake

Kama ndo hivyo sidhani kama ni sahihi..ukinambia bifu la clouds limemweka juu kimziki nashindwa kuelewa boss..wote tunajua impact ya clouds kwenye music industry bongo..sasa ukinambia kubaniwa kwa jide na clouds fm(mabingwa wa kupiga promo ambao wanaweza kukuaminisha kuwa nyeusi ni nyeupe na ukaamini) ndo kumemfanya awe juu kimziki ntaitaji maelezo kidogo..nwei labda nikubaliane na ww kwa muda kuwa bifu la juzi kati limembusti,ila Jay dee amekuwa akifanya vizuri toka kitambo sana..huko nyuma nini kilikuwa kinambusti??
 
Kwa kipindi kile yes bifu ilimrudisha kwenye chati,kabla ya bifu alikuwa ashaanza kufifia,sahivi kafifia tena maana katoa nyimbo kama 3 zote hazijafanya vizuri

Kwa mtazamo wako unahisi nyimbo kama yahaya na joto hasira ziliitaji bifu ili ziwe hit??
 
Kwa mtazamo wako unahisi nyimbo kama yahaya na joto hasira ziliitaji bifu ili ziwe hit??

Hizo nyimbo ni matokeo ya bifu hivyo huwezi kuzitenganisha na bifu. Me #kende nimemuelewa. Ni kuwa kabla ya hizo nyimbo 2 jide ashaanza kusahaulika kwenye game mpaka alipoingia kwenye bifu akapata cha kuimba... zaid alikua akipiga live band kama akina Banana na TID pale Nyumbani Loungh. Baada ya Nyimbo hizo Mbili za Mipasho kuwananga SebaMaganga,Ruge na Kusaga keshatoa nyingine kama 3 lakini hazijahit. Hata hizo live band zimefulia kwakua hana jipya kila ukienda pale MOG pamenyauka mda wote monday hadi sunday. Hata wasanii wenzie wanamkimbia.

Ni juzi tu watu walijitahidi kuhudhulia kwan wengi walikua Team Kiba.

Vanessa Toka alipochomoka na kwenye featuring ya ommy mpaka wa leo anazidi kupanda kwanini tusiseme kwa sasa kamfunika jayd?

Jide hivi sasa kabaki u-legendary ila kimziki v kamfunika. Tatizo bongo tuna kasumba ya kukariri historia na kuifanya ionekane iko hai muda wote.
 
Mkuu nimetaka kujua uzuri wa wimbo..haijalishi ni mipasho au vipi..unachotaka kusema bifu ndo limefanya nyimbo ionekane nzuri au??..hiyo yahaya hadi watt wadogo walikuwa wanaimba..nao hao walikuwa wanajua wimbo katungiwa mtu fulani?
 
Achen kumshusha jamani jide..jide atabak kua jide hakuna wa kumafananisha nae..wanakuja wasanii wa kike wengi wanavuma mfn kina linah.rachel,maua nk lkn bado jide anabak kua jide wengine wanapotea tu
 
Lady Jaydee ni Legendary.... Vannessa anafanya vyema lakini mileage za Lady Jaydee na mafanikio yake kwa miaka 15 mfululizo ktk muziki si sawa kumfananisha na huyo dogo. Labda tuwe specific nini tunashindanisha.

Vannesa hampati jide kwa chochote, watakua wanamuonea tu, kibongo bongo kwa mademu bado sana kumfikia jide
 
Hizo nyimbo ni matokeo ya bifu hivyo huwezi kuzitenganisha na bifu. Me #kende nimemuelewa. Ni kuwa kabla ya hizo nyimbo 2 jide ashaanza kusahaulika kwenye game mpaka alipoingia kwenye bifu akapata cha kuimba... zaid alikua akipiga live band kama akina Banana na TID pale Nyumbani Loungh. Baada ya Nyimbo hizo Mbili za Mipasho kuwananga SebaMaganga,Ruge na Kusaga keshatoa nyingine kama 3 lakini hazijahit. Hata hizo live band zimefulia kwakua hana jipya kila ukienda pale MOG pamenyauka mda wote monday hadi sunday. Hata wasanii wenzie wanamkimbia.

Ni juzi tu watu walijitahidi kuhudhulia kwan wengi walikua Team Kiba.

Vanessa Toka alipochomoka na kwenye featuring ya ommy mpaka wa leo anazidi kupanda kwanini tusiseme kwa sasa kamfunika jayd?

Jide hivi sasa kabaki u-legendary ila kimziki v kamfunika. Tatizo bongo tuna kasumba ya kukariri historia na kuifanya ionekane iko hai muda wote.

Jide atabaki kuwa jide tu, nitajie hao wasanii wenye angalau vibanda vya kuuzia chips kumzidi jide, jide alishashindikana, ni bora useme vee anapita kwenye nyayo za jide ila sio kumpita, izo ni ndoto, vee hamgusi jide kwa lolote
 
Edit
Won:

2000- Multi Talented Award (CLOUDS FM)[1]
2001 -M-Nets Best Female Artist from Tanzania[2]
2002 - Tanzania Music Awards - Best Female Artist ("Machozi")
2002 - Tanzania Music Awards - Video of the Year ("Machozi")
2003 Channel O Video Music Awards -Best African East ("Machozi")
2003 - Tanzania Youth Archievement Awards for Best RnB single ("Usiusemee Moyo")
2004 Tanzania Music Awards - Best R&B Album ("Binti") [3]
2005 - Channel O Video Music Awards - Best Video East Africa (" Distance")
2005 - Channel O Video Music Awards - Best Collaboration Video (" Makini") with Titi from Uganda[4]
2005 - BBC Radio Awards - Song of the Year ("Distance")
2006 Pearl of Africa Music Awards - Best Female (Tanzania)[5]
2007 Tanzania Music Awards - Best Collaboration ("Hawajui"), with Mwanafalsafa [6]
2007 Pearl of Africa Music Awards - Best Female Artist (Tanzania) [7]
2008 Tanzania Music Awards - Best Female [8]
2008 Pearl of Africa Music Awards - Best Female Artist (Tanzania)[9]
2008 Kisima Music Awards - Song of the Year Tanzania ("Anita" with Matonya) & Collaboration of the Year ("Anita" with Matonya) [10]
2009 Tanzania Music Awards - Song of the Year ("Anita" with Matonya) & Best Collaboration ("Anita" with Matonya) [11]
2010 - Pearl Music Awards - Best Female Artist from Tanzania
2010 Tanzania Music Awards - Best Female Singer[12]
2011 Fiesta Hall of Fame Award
2011 Pearl Music Award - Best Female Artist from Tanzania
2011 Tanzania Music Awards - Best Female Artist & Best Song ('Nitafanya' with Kidumu)[13]
2011 Uganda Divas Awards - Best Female Artist from Tanzania
2012 Tanzania Music Awards - Best Female Singer[14]
2012 - Baab Kubwa Magazine Awards - Best Female Artist in Tanzania
2013 - Tanzania Music Awards - Best Female Artist
2014 - Tanzania Music Awards - Best Female Singer
2014- Tanzania Music Awards - Best Zouk/ Rhumba Song (" Yahaya")
2014 - Tanzania Peoples Choice Award - Favourite Female Music Video ("Yahaya")
2014 Africa Magazine Muzik Awards - Best Female Artist East Africa
2015 Kenya Bingwa Music Awards - East African Song of the Year ("Yahaya ")
Nominated:

2003 Kora Awards - Most Promising African Female [15]
2005 Kora Awards - Best Female Artist From Eastern Africa [16]
2006 Channel O Music Video Awards - Best collaboration video ("Njalo" with Mina Nawe) [17]
2010 Tanzania Music Awards - Best Song Writer, Best Music Video ('Natamani Kuwa Malaika')
2011 Tanzania Music Awards - Best Female Singer[18]
2012 Tanzania Music Awards - Best Video ('Wangu' with Mr Blue), Best Zouk/Rhumba Song ('Wangu' with Mr Blue), Best Collaboration Song ('Wangu' with Mr Blue), Best Hip Hop Song ('Kilimanjaro' with Joh Makini & G Nakoo)

"Nlikuwepo":bolt:

Aya sasa, huyu mtu ni wa kumfananisha na vibwengo kama akina vee? Matusi hayo tena wamuombe msamaha jide, ni dharau sana
 
Sijabisha kama vanessa si msanii mzuri kwa sasa,ila kumfananisha na jide ni kosa tena kubwa sana.
Na kikubwa ni pale anaposema akabidhiwe kijiti.. Kila mtu atafute chake kwani jide alikipokea kutoka kwa nani.
Nampenda sana Vanessa ila kwenye ukweli nakaa nae pembeni,akifika alipo jide nitakuwa upande wake always.

"Nlikuwepo":bolt:

AHahahahahahaj hahahaha dah nimekupenda buree, eti Vanessa atafute kijiti chake, dah we mbaya sana, umetisha, watuachie comando wetu, hawamuwezi miaka miaa
 
Mkuu vanesa amechukua tuzo wimbo bora wa chipukizi rnb 'closer' kili music mwaka jana, though bado hawez kukaa meza moja na jide, ila ni msanii mzuri pia

Yes, vannesa anafanya vzur, ila huwez mfananisha na jide ata robo, jide muziki wake unasikilizwa from tandale to masaki to east africa,v money bado hajateka soko la uswazi kihivyo ambapo ndipo kuna mashabiki wengi, so she has a long way to go
 
Acha jide aitwe queen of music eact africa..kuna song kashirikishwa na msanii wa kenya atemidva bonge la song jide kafunika mbaya..na kitu kipya kingine chatarajiwa kuja kamshirikisha mazet yule wa ktk song la njalo na uhuru
 
Kiukwely jide kafunikwa saiv kimziki. Na nikwasababu amevurugana tu kdgo na ruge. Some how imemshusha flani. Ingawa sio saaaaana kiwastani tuuuu. Vanessa ni star. I support aliyesema kwamba mziki wake unaoneshwa sehemu nyingi ukilinganisha na jide. Na anajua kuimba whether you like it or not. Sema the different ni kwamba jide atabaki kuwa legendary tuuuu. Na Vanessa anatakiwa kumadress hivyo. Hapa mnachotaka kucompare ni kama rihanna na Celine Dion. Je Vanessa angevuma pmja na jide pmja ingekuwaje? Hapo ndo mngesema kamfunika au VP. Ila kinachotokea saiv ni both wanahit kwa nyakati zao tena very different. Ila Huyo hater Wa Vanessa kumfananisha na shilole jmn hapana. Usimchukie kiivyo. Without a doubt shilole anaforce kuimba na imemjenga mpk sasa watu wanaanza kumkubali. Lkn Vanessa ile kitu ni natural. No forcing. Anaweza kuimba bila instrumental shishi anaweza hiyo?

Jide ni chuma cha reli, vannesa ajipange tu kutoka kivyake ila level za jide atazisikia kwenye bomba, wamekuja wasanii wenye sauti kama kasuku ila wamedunda kwa jide, inshort wamuache kabisaaaa
 
Acha jide aitwe queen of music eact africa..kuna song kashirikishwa na msanii wa kenya atemidva bonge la song jide kafunika mbaya..na kitu kipya kingine chatarajiwa kuja kamshirikisha mazet yule wa ktk song la njalo na uhuru

Toka nianze kumjua jide kwa kweli, hajawahi kutoa nyimbo mbaya, anajua kuimba na anajua nini watu wanataka, inshort jide kabarikiwa kwa namna yake, sauti yake sio nzuri sanaaaaa but anajua kuitumia vyema kukonga nyoyo za mashabiki, yule mwanamke ni hatar, muache tu ajite anaconda
 
Back
Top Bottom