Vanessa Mdee ~ Never Ever: Video nzuri, lakini ina ukakasi

Inabidi tuanze kuwaelimisha vizuri hawa watu.. God never created them to be who they are now, their bodies are the temple of God....

I agree with you kabisa sasa uvaaji huo mabinti wakiona wanaiga sasa hapo sikutangaza biashara. Vanessa vivazi vyake kwenye uu wimbo.
 
nazani ni ngumu kumridhisha kila mtu-so vanesa aachwe afanye anachotaka,maana naamin hata vaa ya makhirikhiri haikua nzuri sana lakini walikuwa famous

Kwani muziki anafanya kwa ajili ya nani? maana jamii nzima ndo inatazama
 
I agree with you kabisa sasa uvaaji huo mabinti wakiona wanaiga sasa hapo sikutangaza biashara. Vanessa vivazi vyake kwenye uu wimbo.

Unajua hata tukifata akili ya kawaida tu mtu hadi afanye vile akili yake unakuta imeruka kiasi, mtu mwenye uzima kichwani hawezi fanya hivyo...
Pengine sio kosa lake, kaambiwa afanye hivyo ndio atapata hela
 
Hii video inapaswa kufungiwa kabisa kama ilivyo fungiwa ya jux na sikutegemea kama Vannesa kukosa adabu kiasi hiki!
 
I agree with you kabisa sasa uvaaji huo mabinti wakiona wanaiga sasa hapo sikutangaza biashara. Vanessa vivazi vyake kwenye uu wimbo.
Nita washangaa kabisa kama Basata watashindwa kumfungia huyu binti hasa hii video yake..! Hivi najiuliza jux ndio ana mtambulisha baba yake kuwa huyu ndio mkwe?::::! Hivi kweli video hile bila kuwa mtupu ingekuwa mbaya?
 
Unajua hata tukifata akili ya kawaida tu mtu hadi afanye vile akili yake unakuta imeruka kiasi, mtu mwenye uzima kichwani hawezi fanya hivyo...
Pengine sio kosa lake, kaambiwa afanye hivyo ndio atapata hela

Vanesa sijui ndo kulewa umaarufu kisa aonekane international ndo kuka.Fanya afanye yote hayo aisee. Hata ka ni washauri hapana BASATA waiangalie hii video
 
Nita washangaa kabisa kama Basata watashindwa kumfungia huyu binti hasa hii video yake..! Hivi najiuliza jux ndio ana mtambulisha baba yake kuwa huyu ndio mkwe?::::! Hivi kweli video hile bila kuwa mtupu ingekuwa mbaya?

Kabisa BASATA waifungie tu aisee wimbo hata hauhusiani na kukaa uchi lakini yeye ndo kaona sehemu yake. Kati ya video zote za wanawake hii ya Vanessa kavunja record
 
Kama waliifungia ya bwana ake (jux) uzuri wako basi hii nayo ifate mkondo kuna sehemu yupo kwenye swimming pool kale ka-pichu kali jichora sana pale mbele
 
Mimi nilitegemea kabisa hii video iwe imefungiwa maana sijawai kuona msichana aliye kosa adabu na mwili wake kiasi hiki kumbe Shilole cha mtoto...
 
Kweli.....naona anatangaza biashara nyingine tu tufauti na muziki.....kwan kujenga muziki wako lazma uvae kama alivyovaa kwny hyo vid???
 
Jux hana mke hapa demu kakomaa na kingekuwa kizuri kidogo tu hiki kidemu pasingekalika
 
Kama waliifungia ya bwana ake (jux) uzuri wako basi hii nayo ifate mkondo kuna sehemu yupo kwenye swimming pool kale ka-pichu kali jichora sana pale mbele
Hata kwa nyuma kichupi kimeloana hata mstari wa tako unaona
 
Kweli.....naona anatangaza biashara nyingine tu tufauti na muziki.....kwan kujenga muziki wako lazma uvae kama alivyovaa kwny hyo vid???
Huyu binti lazima ameanza kuchanganyikiwa..inabidi Basata waokoe jahazi..
 
umeongea fact mkuu ila kinachotukasirisha sisi wananchi wengi ni kwamba hawa wasanii wanatutukania rais wetu bila sababu za msingi. kama wangefanya siasa safi tusingekuwa na shida nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…