Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

Sifa ya mtu mweusi ni kukomaa sehem za siri kama makalio, papuchi, makwapa ndo maana ni busara kuficha sehem hizo zilizokomaa, naonaga waliochubua sura ukiwafunua makalio na katikati weuc tii izi sehemu ni naturaly resistants
 
Kweli tupo tofauti mi kanitega nipo hoi huku
 
Comments kama hizi ndo zinafanya wadada wakose confidence na waanze kujichubua na wakijichubua ili wawe weupe mnawaponda pia dah! Ni mwafrika ulitaka awe na tako rangi gani?!
La kijani lingekuwa poa Sanaa [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Siyo kama Beyonce huyo ni Beyonce sema ni mpare tu.
 
Nimebariki kuachwa kwa Vannesa
 
Huu ujana huu!!!!! Mnaharibika kweli nyie...... Hivi anahitaji mtu kuvaa hivyo ili kuwa "up to date"? Ukivaa nguo za kuusitiri mwili wako huonekani vizuri? Bahati mbaya huwa siendi kwenye kumbi za starehe otherwise siwezi kukaa chini na kuangalia uchafu km huu!!!!

&&X###%%\\|| mtupu!!!
 
Daah sijui wazazi wake wanajiskiaje wakiona mapicha dizaini hii. Wakati mwingine wazazi wetu wanaugua magonjwa ya ajabu sana kwasababu yetu sisi watoto waliotuzaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…