[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui aliyewaambia kuwa ukianika mwili wako nje ndipo utakuwa na mvuto ni nani !!!!
Kafupi hadi kanabinuka kutengeneza umbo lakini wapi na Makalio yalivyo meusi Kama masalia ya Lami
Vanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini
Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini
View attachment 496702View attachment 496703
Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia rangi ya makalio yake
Wazazi wanaumia sana,na hakika watoto ukiwashauri khs mavazi wanakuona old fashion,ukweli ukiwa na hofu ya Mungu utakua makini sana kwenye uchaguzi wa mavaziDaah sijui wazazi wake wanajiskiaje wakiona mapicha dizaini hii. Wakati mwingine wazazi wetu wanaugua magonjwa ya ajabu sana kwasababu yetu sisi watoto waliotuzaa
Hili nalo ni vazi au ni marapurapu?
Watu ijumaa tulikuwa kwenye maombolezo ya kuteswa kwa Yesu ye anapuyanga tu
We vmoney we we
Fashion design
Mkuu katika maisha haya kila mtu ana maamuzi yake,wewe muomboleze Yesu yeye anajifurahisha nafsi yake,wengine wanahangaika kutafuta cha kukila,wengine wako msikitini wanasali......
Uhuru wa kujiamulia mkuu,hata vitabu vya dini vinatufundisha hivyo,usimhukumu mwenzako,muombee,wakuhukumu ni mungu tu...
Kama beyonce tena? mnatania sasa..... hebu itizame skin color tone ya beyonce unataka kuifananisha na huyu tone isioeleweka? mara hapa weusi umezidi mara kifua kama kina nongo hakijasuguliwa, bora niishie hapa. wenzao nguo izo wakivaa huwa wanajua kama miili yao inang'aa.... huyu? siiijui
Mkuu wapare hatupo hivyo.Siyo kama Beyonce huyo ni Beyonce sema ni mpare tu.
Sijakuelewa,,,wewe unaponya,Je kamahuyu dada roho yake haitaki kuponeshwa,jiponeshe mwenyewe kwanza halafu ndio uwaponeshe wengineMi sjahukumu infwact, ila ni me go inside kwenye roho ya uponyaji, umenierewa rutoshobya[emoji1] [emoji1]
Sijakuelewa,,,wewe unaponya,Je kamahuyu dada roho yake haitaki kuponeshwa,jiponeshe mwenyewe kwanza halafu ndio uwaponeshe wengine
Huu sasa ni ujingaMatako meusi hahshajahahahahjajhahahahahah papuchi na yenyewe nyeusi kama mkaa
Utakuwa na matatizo ya uelewa, fanya tuishie apa
Kwanza Nataka nipige kiporo cha pasaka apa
Pasaka njema Dada,jiepushe na kuwahukumu watu,jiepushe na umbea...kuwamfuasi wakweli wa Yesu Kristu
Huo ni uchochezi kabila halimtumi MTU kuwa limbukeniHivi Vanessa ni mtanzania wa kabila gani?
Tabu sana asee ,mzazi anajisemea moyoni sijui kwanini amezaa mtoto wa hivi. Tabia chafu sana hii tena hadharani kabisaWazazi wanaumia sana,na hakika watoto ukiwashauri khs mavazi wanakuona old fashion,ukweli ukiwa na hofu ya Mungu utakua makini sana kwenye uchaguzi wa mavazi