Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

Vanessa kapendeza tu mbona, sasa mlitaka ajichubue makalio ili yawe meupe? She is acting natural
 
Sijui aliyewaambia kuwa ukianika mwili wako nje ndipo utakuwa na mvuto ni nani !!!!

Kafupi hadi kanabinuka kutengeneza umbo lakini wapi na Makalio yalivyo meusi Kama masalia ya Lami
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah sijui wazazi wake wanajiskiaje wakiona mapicha dizaini hii. Wakati mwingine wazazi wetu wanaugua magonjwa ya ajabu sana kwasababu yetu sisi watoto waliotuzaa
Wazazi wanaumia sana,na hakika watoto ukiwashauri khs mavazi wanakuona old fashion,ukweli ukiwa na hofu ya Mungu utakua makini sana kwenye uchaguzi wa mavazi
 
Hili nalo ni vazi au ni marapurapu?
7abd9cddecc738464ad2f3291ab5a909.jpg

Fashion design
Watu ijumaa tulikuwa kwenye maombolezo ya kuteswa kwa Yesu ye anapuyanga tu

We vmoney we we

Mkuu katika maisha haya kila mtu ana maamuzi yake,wewe muomboleze Yesu yeye anajifurahisha nafsi yake,wengine wanahangaika kutafuta cha kukila,wengine wako msikitini wanasali......

Uhuru wa kujiamulia mkuu,hata vitabu vya dini vinatufundisha hivyo,usimhukumu mwenzako,muombee,wakuhukumu ni mungu tu...
 
Mi sjahukumu infwact, ila ni me go inside kwenye roho ya uponyaji, umenierewa rutoshobya[emoji1] [emoji1]

7abd9cddecc738464ad2f3291ab5a909.jpg

Fashion design

Mkuu katika maisha haya kila mtu ana maamuzi yake,wewe muomboleze Yesu yeye anajifurahisha nafsi yake,wengine wanahangaika kutafuta cha kukila,wengine wako msikitini wanasali......

Uhuru wa kujiamulia mkuu,hata vitabu vya dini vinatufundisha hivyo,usimhukumu mwenzako,muombee,wakuhukumu ni mungu tu...
 
Kama beyonce tena? mnatania sasa..... hebu itizame skin color tone ya beyonce unataka kuifananisha na huyu tone isioeleweka? mara hapa weusi umezidi mara kifua kama kina nongo hakijasuguliwa, bora niishie hapa. wenzao nguo izo wakivaa huwa wanajua kama miili yao inang'aa.... huyu? siiijui

Bila shaka wewe ni mwafrika lakini bado hupendi rangi ya ngozi yako,Ngozi nyeusi ni bora zaidi kuliko ngozi yoyote ya binaadamu,ngozi nyeusi haizeeke haraka,wazungu na wengine wenye ngozi vyeupe wakifika miaka 20 wanaonekana wana miaka 100.,,Ngozi nyeusi inastahamili shida....

Huwezi kufanananisha rangi ya ngozi ya huyu dada na Beyonce,rangi ya huyu dada ni bora zaidi kuliko ya Beyonce
 
Mi sjahukumu infwact, ila ni me go inside kwenye roho ya uponyaji, umenierewa rutoshobya[emoji1] [emoji1]
Sijakuelewa,,,wewe unaponya,Je kamahuyu dada roho yake haitaki kuponeshwa,jiponeshe mwenyewe kwanza halafu ndio uwaponeshe wengine
 
Utakuwa na matatizo ya uelewa, fanya tuishie apa
Kwanza Nataka nipige kiporo cha pasaka apa

Sijakuelewa,,,wewe unaponya,Je kamahuyu dada roho yake haitaki kuponeshwa,jiponeshe mwenyewe kwanza halafu ndio uwaponeshe wengine
 
Wazazi wanaumia sana,na hakika watoto ukiwashauri khs mavazi wanakuona old fashion,ukweli ukiwa na hofu ya Mungu utakua makini sana kwenye uchaguzi wa mavazi
Tabu sana asee ,mzazi anajisemea moyoni sijui kwanini amezaa mtoto wa hivi. Tabia chafu sana hii tena hadharani kabisa
 
Back
Top Bottom