Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

Kweli ngozi ya mzungu inazeeka haraka. Lakini rangi ya beyonce na huyo Vanessa? Beyonce maji ya kunde au wenyewe wanaita lightskin, hii haizeeki haraka halafu inavutia hasa! huwezi fananisha kabisa rangi ya beyonce na vanessa afu ukasema eti ya vanessa nzuri. Hebu mtizame beyonce ana miaka mingapi na yukoje? Au mtizame Alicia keys, wewe usicheze na lightskin hata kidogo. Kuna wasichana weusi kama lami lakini wazuri hawa tunawaita Black beauty, si vanessa ndugu yangu, hebu itizame rangi yake ya sura inavong'ara na ndo inapigwa na jua kila siku, vipi matako rangi yasiwiane na sura wakati tako limefunikwa most of the time? itizame shingo na kisugudi vizuri. Kabla hujavaa nguo kama izo kheri kwanza ujiangalie
 

hahaha,kaka wazungu wanapoteza muda mwingi kujianika juani ili wawe na rangi ya ngozi kama mwafrika,ngozi ya vyeupe zinapata cancer ya ngozi kwa jua..,

Ni ulimbukeni tu,kwa wale wanaume ambao hawajatembea na wanawake wenye rangi ya ngozi nyeupe ndio wanaona kuwa hao wanawake bomba ukweli wenyewe wengi wao wanazichukia rangi ya ngozi zao,kupendeza kwao mpaka waweke make up....

Mkuu rangi ya ngozi nyeusi nzuri sana,mwanamke alie na rangi nyeupe au maji ya kunde au maharage ukitembea nae siku moja tu humtaki kumuona tena siku ya pili,rangi zao hazivutii chumbani,,

Ndio maana utaona warabu na wahindi wengi wanakwenda nje na wanawake wenye rangi ya ngozi nyeusi wakati wake zao wamewafungia ndani bila ya kutembea nao kimapenzi

Rangi ya Beyonce haina lolote huwezi kufananisha na rangi ya huyo dada hapo...raingi ya huyu dada iko poa sanaalichokosea kuvaa nywele faeki tu basi...
 
Anakaa uchi uchi na vitako vibaya. Angejua asingejianika hivyo....Nguvu ya Ngada kweli ni Kubwa!! Maana kwa mtoto wa KiTZ kuvaa hivyo na mzazi aone inahitaji ukatike mshipa wa aibu
 

Ndio kwanza wewe nikuone ukisema eti rangi ya lightskin haina mvuto 😀 Hii mpya leo. Nani kakwambia eti mtu unaichoka lightskin? Sijawahi kusikia ndio kwanza nakuskia wewe. Eti waarabu na wahindi wengi wanakwenda nje kwa rangi nyeusi. Mkuu ungenambia mzungu ningekuelewa eti muarabu na muhindi? Kuna couples nyingi za nje ya ndoa baina mhindi na black? Sasa ndo naona unatania. Na mwarabu nae? hizi race 2 ulizozitaja zote si kweli kwamba eti wanatoka nje wengi, au unazungumzia kufuata mala.ya wa kiblack? hapa ntakuelewa na still si kwamba eti black ndio rangi bora kuliko zote bali ni kwa sababu ndio wanaopatikana kirahisi hapa kwetu, na uko india na uarabuni mana ndio wanaokaa hadharani kujiuza, afu wananunuliwa na wahindi ama waarabu choka mbaya, mwenye hela anatafuta mzungu.

Umeongea watu kuzichukia rangi zao, ahem ahem, mbona sasa unagusia sehemu moja ambayo yaweza kukuangamiza mara moja? Tusiende mbali, hapa Tanzania tu wangapi wanajichubua? hadi wasanii wamo 😀 sasa nani anaichukia ngozi yake?

Rangi ya dada Vanessa iko powa? Ndio naiona hio shingo yake apo sijui tuisugue!
 
Anakaa uchi uchi na vitako vibaya. Angejua asingejianika hivyo....Nguvu ya Ngada kweli ni Kubwa!! Maana kwa mtoto wa KiTZ kuvaa hivyo na mzazi aone inahitaji ukatike mshipa wa aibu

Watanzania washamba sana mkiwaona akina Beyonce na wasanii wengine wa nchi nyengine mnawashangilia mkimuona msanii wa kitanzania kavaa hivyo mnamponda,,kaka huyo ni msanii,hivyo alivyovaa ni moja katika kujitanganza,mbona hamshangai mwanamke wa kimasai anapotembeana rubega nusu uchu barabarani...,waziwa nje

Eti kwa Mtoto wa kitanzania!!!??? Kwani wanawake wa Kitanzania wana kikubwa kipi hata wawe tafauti na wanawake wengine duniani....
 
Mtoto halle berry apo...... Huyo Jigga basi rangi yake nzuri kuliko uyo mdee.....
 

Attachments

  • beyonce.jpg
    29.1 KB · Views: 79
  • halle-berry-007.jpg
    71.1 KB · Views: 64
Kwa mfano ndio unaenda kumtambulisha kwa wazazi kuwa huyu ndio mkwe wenu mtarajiwa, response yao inakuwaje?
 
Elewa mada acha papara.
We ndo uache papara na ulimbukeni unataka kuniambia Kabila la wapare wote wana tabia za Vannesa?? Hakuna wachungaji wa kipare?? Hakuna watu wenye maadili mema wanatoka ktk hilo Kabila? Je!! Wadada wote wanaokaa uchi na kujianika maungo yao kama akina Giggy,AmberLulu n.k je! Hao wote ni wapare?? Tabia na hulka ya MTU inachangiwa na mambo mengi ikiwemo malezi,marafiki,mazingira aliyokulia n.k Kabila LA MTU halihusiani kabisa na Tabia ya MTU hakuna Kabila linalozaa MTU kila MTU kazaliwa na wazazi hivyo kuhusianisha Tabia ya MTU na Kabila ni ulimbukeni na kujionesha una IQ ndogo
 

Hao wanaojichubua akili zao kama wewe hawajui umuhimu na uzuri ngozi nyeusi....,akili zenu zimejawa na propaganda mlizojazwa kuwa kila kitu cheupe kizuri "white supremacy",wazungu na watu weupe wameitengeneza hii kwasabau wanajiua wao wabaya..,ngozi zao hazivutii.

Miaka ya nyuma mtu alikuwa akiwa na midomo mipana alikuwa akionekana mbaya,hivi sasa wazungu na watu wengine wanatengeneza midomo yao ifanane na ya kiafrika.

Miaka ya nyuma mwanamke alikuwa akiwa na matako alikuwa anaonekana mbaya hivi sasa wanawake wengi wa ulaya na sehemu nyingine duniani wanataka wawe na matako yaliyofanana na mwanamke wa kiafrika

Hivi kaka uko dunia gani?hivi unajua hivi sasa watu waliokuwa hawana ngozi nyeusi wanapiga shindano rangi zao zifanane na rangi ya ngozi ya mwafrika


 
Usipanic Mkuu
 
mchawi wenu huyu [emoji121][emoji121][emoji121]kapatikana kazi kwenu sasa!
 
Halafu rafiki zake watalalamika "objectification of women" bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…