chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
😱😱,mmmh kiporo cha Pasaka kinaliwa na matusi,samahani kumbe wewe mwanamme.....Umeamua kuniita dada ili kudhihirisha upumbavu wako sio, idiots
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😱😱,mmmh kiporo cha Pasaka kinaliwa na matusi,samahani kumbe wewe mwanamme.....Umeamua kuniita dada ili kudhihirisha upumbavu wako sio, idiots
Kweli ngozi ya mzungu inazeeka haraka. Lakini rangi ya beyonce na huyo Vanessa? Beyonce maji ya kunde au wenyewe wanaita lightskin, hii haizeeki haraka halafu inavutia hasa! huwezi fananisha kabisa rangi ya beyonce na vanessa afu ukasema eti ya vanessa nzuri. Hebu mtizame beyonce ana miaka mingapi na yukoje? Au mtizame Alicia keys, wewe usicheze na lightskin hata kidogo. Kuna wasichana weusi kama lami lakini wazuri hawa tunawaita Black beauty, si vanessa ndugu yangu, hebu itizame rangi yake ya sura inavong'ara na ndo inapigwa na jua kila siku, vipi matako rangi yasiwiane na sura wakati tako limefunikwa most of the time? itizame shingo na kisugudi vizuri. Kabla hujavaa nguo kama izo kheri kwanza ujiangalieBila shaka wewe ni mwafrika lakini bado hupendi rangi ya ngozi yako,Ngozi nyeusi ni bora zaidi kuliko ngozi yoyote ya binaadamu,ngozi nyeusi haizeeke haraka,wazungu na wengine wenye ngozi vyeupe wakifika miaka 20 wanaonekana wana miaka 100.,,Ngozi nyeusi inastahamili shida....
Huwezi kufanananisha rangi ya ngozi ya huyu dada na Beyonce,rangi ya huyu dada ni bora zaidi kuliko ya Beyonce
Kweli ngozi ya mzungu inazeeka haraka. Lakini rangi ya beyonce na huyo Vanessa? Beyonce maji ya kunde au wenyewe wanaita lightskin, hii haizeeki haraka halafu inavutia hasa! huwezi fananisha kabisa rangi ya beyonce na vanessa afu ukasema eti ya vanessa nzuri. Hebu mtizame beyonce ana miaka mingapi na yukoje? Au mtizame Alicia keys, wewe usicheze na lightskin hata kidogo. Kuna wasichana weusi kama lami lakini wazuri hawa tunawaita Black beauty, si vanessa ndugu yangu, hebu itizame rangi yake ya sura inavong'ara na ndo inapigwa na jua kila siku, vipi matako rangi yasiwiane na sura wakati tako limefunikwa most of the time? itizame shingo na kisugudi vizuri. Kabla hujavaa nguo kama izo kheri kwanza ujiangalie
Anakaa uchi uchi na vitako vibaya. Angejua asingejianika hivyo....Nguvu ya Ngada kweli ni Kubwa!! Maana kwa mtoto wa KiTZ kuvaa hivyo na mzazi aone inahitaji ukatike mshipa wa aibuVanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini
Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini
View attachment 496702View attachment 496703
Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia rangi ya makalio yake
Ndio.maana anajianika aiseeAlishafariki aisee
hahaha,kaka wazungu wanapoteza muda mwingi kujianika juani ili wawe na rangi ya ngozi kama mwafrika,ngozi ya vyeupe zinapata cancer ya ngozi kwa jua..,
Ni ulimbukeni tu,kwa wale wanaume ambao hawajatembea na wanawake wenye rangi ya ngozi nyeupe ndio wanaona kuwa hao wanawake bomba ukweli wenyewe wengi wao wanazichukia rangi ya ngozi zao,kupendeza kwao mpaka waweke make up....
Mkuu rangi ya ngozi nyeusi nzuri sana,mwanamke alie na rangi nyeupe au maji ya kunde au maharage ukitembea nae siku moja tu humtaki kumuona tena siku ya pili,rangi zao hazivutii chumbani,,
Ndio maana utaona warabu na wahindi wengi wanakwenda nje na wanawake wenye rangi ya ngozi nyeusi wakati wake zao wamewafungia ndani bila ya kutembea nao kimapenzi
Rangi ya Beyonce haina lolote huwezi kufananisha na rangi ya huyo dada hapo...raingi ya huyu dada iko poa sanaalichokosea kuvaa nywele faeki tu basi...
Anakaa uchi uchi na vitako vibaya. Angejua asingejianika hivyo....Nguvu ya Ngada kweli ni Kubwa!! Maana kwa mtoto wa KiTZ kuvaa hivyo na mzazi aone inahitaji ukatike mshipa wa aibu
Elewa mada acha papara.Huo ni uchochezi kabila halimtumi MTU kuwa limbukeni
We ndo uache papara na ulimbukeni unataka kuniambia Kabila la wapare wote wana tabia za Vannesa?? Hakuna wachungaji wa kipare?? Hakuna watu wenye maadili mema wanatoka ktk hilo Kabila? Je!! Wadada wote wanaokaa uchi na kujianika maungo yao kama akina Giggy,AmberLulu n.k je! Hao wote ni wapare?? Tabia na hulka ya MTU inachangiwa na mambo mengi ikiwemo malezi,marafiki,mazingira aliyokulia n.k Kabila LA MTU halihusiani kabisa na Tabia ya MTU hakuna Kabila linalozaa MTU kila MTU kazaliwa na wazazi hivyo kuhusianisha Tabia ya MTU na Kabila ni ulimbukeni na kujionesha una IQ ndogoElewa mada acha papara.
Ndio kwanza wewe nikuone ukisema eti rangi ya lightskin haina mvuto 😀 Hii mpya leo. Nani kakwambia eti mtu unaichoka lightskin? Sijawahi kusikia ndio kwanza nakuskia wewe. Eti waarabu na wahindi wengi wanakwenda nje kwa rangi nyeusi. Mkuu ungenambia mzungu ningekuelewa eti muarabu na muhindi? Kuna couples nyingi za nje ya ndoa baina mhindi na black? Sasa ndo naona unatania. Na mwarabu nae? hizi race 2 ulizozitaja zote si kweli kwamba eti wanatoka nje wengi, au unazungumzia kufuata mala.ya wa kiblack? hapa ntakuelewa na still si kwamba eti black ndio rangi bora kuliko zote bali ni kwa sababu ndio wanaopatikana kirahisi hapa kwetu, na uko india na uarabuni mana ndio wanaokaa hadharani kujiuza, afu wananunuliwa na wahindi ama waarabu choka mbaya, mwenye hela anatafuta mzungu.
Umeongea watu kuzichukia rangi zao, ahem ahem, mbona sasa unagusia sehemu moja ambayo yaweza kukuangamiza mara moja? Tusiende mbali, hapa Tanzania tu wangapi wanajichubua? hadi wasanii wamo 😀 sasa nani anaichukia ngozi yake?
Rangi ya dada Vanessa iko powa? Ndio naiona hio shingo yake apo sijui tuisugue!
Usipanic MkuuWe ndo uache papara na ulimbukeni unataka kuniambia Kabila la wapare wote wana tabia za Vannesa?? Hakuna wachungaji wa kipare?? Hakuna watu wenye maadili mema wanatoka ktk hilo Kabila? Je!! Wadada wote wanaokaa uchi na kujianika maungo yao kama akina Giggy,AmberLulu n.k je! Hao wote ni wapare?? Tabia na hulka ya MTU inachangiwa na mambo mengi ikiwemo malezi,marafiki,mazingira aliyokulia n.k Kabila LA MTU halihusiani kabisa na Tabia ya MTU hakuna Kabila linalozaa MTU kila MTU kazaliwa na wazazi hivyo kuhusianisha Tabia ya MTU na Kabila ni ulimbukeni na kujionesha una IQ ndogo
kaka sioni uzuri wao......Mtoto halle berry apo...... Huyo Jigga basi rangi yake nzuri kuliko uyo mdee.....
huwa sipanic hovyo ni kukuweka2 sawa mwenye Uelewa ni ngumu kuhusishanisha Kabila na TabiaUsipanic Mkuu
sidhani kama anao maana hats halima mdee alimkana akasema hamjuiHivi ana ndugu!?