Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

ndio..ona binti mwingine aliezaliwa na tanzania na kwenda kusomea marekani kama vanessa[emoji116] baada ya graduation wazaz wake na familia wakamwandalia kaparty ka kumpongeza..hapo akiwa na baba mzazi(mh abbas mtemvu) na mamake mzazi ambae alikua diwani..
View attachment 496813
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Kweli dunia imevaa chupi.!
 
Safari Bado ni ndefu sana.Labda waseme kwa hivyo anavojiweka kama kikaragosi ila sio kwa ajili ya weusi wake.
hawa ndo wanasababisha wadada huku mtaani waanze kupaka mikorogo...waambie wainame wapige picha makalio yao halafu watume humu tulinganishe tuone kasoro alonayo vanessa
 
Hawa watoto wameathiria na umagharibi, but we can't accept positive changes

Hivi hiyu ana babake mzazi kweli.?
Maana kama baba ndo anaona picha hizo eti msanii.!
Duh..asavari mi wangu ni msanii wa nyimbo za asiri.[emoji12]
 
watu wanachuki sijawahi ona....dasa hizi lawama za mskalio meusi kama lami zinatoka wapi??huo weusi ni upi wa kumsimanga hivo..hiyo ni rangi yake halisi na kama usoni ni make up.
waswahili dawa yao kuwapuuza tu.

Hebu wafunue matako yao waangalie yalivyo meusi kama jungu la msiba
 
Vanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini
Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini
View attachment 496702View attachment 496703
Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia rangi ya makalio yake
Njaa hii inazidi kuwashusha utu wao Dada zetu muda huohuo wanapoteza muda kupiga kelele "wanawake hatuheshimiki"
 
Jamii foram inamambo kwel huyu mtu aliesema wengi watashangaa rang yamakalio yake amenixhekesha sana umemchunguzaje mpka ukaona hicho kitu
 
Hivi hiyu ana babake mzazi kweli.?
Maana kama baba ndo anaona picha hizo eti msanii.!
Duh..asavari mi wangu ni msanii wa nyimbo za asiri.[emoji12]
Kuna wasanii wa nyimbo za X siku hizi kak.
 
Hili nalo ni vazi au ni marapurapu?

7abd9cddecc738464ad2f3291ab5a909.jpg
Tukalio tuna kama usugu fulani
 
Sijui aliyewaambia kuwa ukianika mwili wako nje ndipo utakuwa na mvuto ni nani !!!!

Kafupi hadi kanabinuka kutengeneza umbo lakini wapi na Makalio yalivyo meusi Kama masalia ya Lami

Hahahahhaha
Wee jamaa wewe Mungu anakuona ujue...
Eti "makalio meusi kama masalia ya Lami"[emoji13][emoji13][emoji13][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom