chollemadulu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 257
- 78
Kweli kila mtu na macho yake! Hadi yule anawatoa udenda kweli hakuna mwanamke mbaya
Umeonaa nipe tanoo gwala gwalaa,yaan ka kawaida sana hako
Kuna siku mhuni mmoja humu alinichekeshajeee eti ---m.atako--- yake yamelegea kama soksi hahahahhahhahahahahahahahahhah
Jinyonge mdau atakuja lazimaaa
khaaaaa sio vizuri
kwa hiyo na mimi nijinyonge kwa ajili yako ?
Kweli kila mtu na macho yake! Hadi yule anawatoa udenda kweli hakuna mwanamke mbaya
Wana jf habari zenu duh huyu dada wa swich on nampenda sana mnisaidie anae mfahamu zaidi kaolewa au bado yupo hewani? Tafadhali sana nisaidieni wadau nitakufa na presha nampenda kama akiupata ujumbe huu popote alipo aweke anuani yake hapa jf nihayo tu wadau