Vanessa Mdee

Vanessa Mdee

chollemadulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
257
Reaction score
78
Wana Jamiiforums habari zenu?

Duh! huyu dada wa kwenye tangazo la Airtel Switch ON nampenda sana mnisaidie anaemfahamu zaidi kaolewa au bado yupo hewani?

Tafadhali sana nisaidieni wadau nitakufa na presha nampenda kama akiupata ujumbe huu popote alipo aweke anuani yake hapa JF.

Ni hayo tu wadau
.

Screenshot_2014-05-22-19-01-49.png
 
Si mfuate ukamwambie huko unakojua anapatikana,sikuhizi mambo ya anwani yamepitwa na wakati.....
 
hahahaaaaa eti huyu dada wa switch on daaa umeniacha hoi
 
Maji makubwa hayo. Kwa hivyo ulivyofanya sawa. Ulizia kwanza iwapo kuna makufuli na vikwazo.
 
Namjua mganga bingwa wa mapenzi. Tena ni ndugu yangu kabisa. We leta picha (hata ya kutoka ktk TV), laki tano na nitakupeleka kwa mganga. Siku tatu tu mtoto wako...
 
khaaaaa sio vizuri

kwa hiyo na mimi nijinyonge kwa ajili yako ?

Jinyonge ntakuja na ntakupenda kweli ntakununulia jeneza zuriii ili mbinguni usinisahau
 
Kweli kila mtu na macho yake! Hadi yule anawatoa udenda kweli hakuna mwanamke mbaya

Amenogewa na ma-selfie ila akibahatika kukutana naye nafikiri atabadili mawazo make akiliona lile t.a.k.o lililolegea kama soksi atachoka mwenyewe.

Ufupi kama unataka kumuona nenda pale mikocheni kwenye jengo la clouds media group, anafanya kazi pale kwenye radio tanzu na clouds ya choice fm.
 
Duh! Mkuu umempendea nini hasa yule demu? Mbona namuona yupo kawaida sana tu
 
Wana jf habari zenu duh huyu dada wa swich on nampenda sana mnisaidie anae mfahamu zaidi kaolewa au bado yupo hewani? Tafadhali sana nisaidieni wadau nitakufa na presha nampenda kama akiupata ujumbe huu popote alipo aweke anuani yake hapa jf nihayo tu wadau

Ebanaeee its wise mtu umuone physically kabla hujaanza kufall in love na kutengeneza picha za wewe na yeye kuimba pamoja kwenye maua. Mimi nilibahatika kukutana nae whitesands kabla hajawa maarufu kwenye muziki akifanya kipindi cha dume msimu wa kwanza ebanaeee mwanzo nilijua labda mtoto wa primary kakosea njia nae yuko location. Sijamaliza kushangaa raia ndio wananiambia huyo ndio flani wa mtv nini sijui bila kuona tatoo mguuni ningeendelea kubisha kuwa ni mtoto wa msimbazi primary.
 
Back
Top Bottom