Vanessa Mdee

Vanessa Mdee

manzi ya Juma kapalalalalalalalakata he he he a.k.a JUMA JUX so angalia utakuja pigwa ma kungfu mtu mwenyw anasoma china
 
Bora angekuwa mstaarabu tu maana anavyoleta pozi wakati watu wanamdharau?Yani kajitia aibu halafu bado anajishebedua mbele za watu?mfyuuuuuu
Teheee aliulizwa kama kweli alifanya ayo mambo akakana, eti wenzie walimtengenezea skendo ili atolewe ayeiyaaa
 
Vanessa-Mdee-na-B-2.png
V2.png
v4.png

http://millardayo.com/71326vb/
 
katika kila bango la swichi oni lenye picha yake nawe weka bango lako lenye picha yako halafu kuwe na bonge la kopa lililotobolewa na mshale katikati na kuvuja vijidamu...

Daaa..nimecheka kwa nguvu . Sijui umewaza nini rafiki
 
Ommy Dimpoz
Millard Ayo
Jux
Yule mshikaji wa wallstreet

Hao ni wachache waliopita hapo
 
Back
Top Bottom