Vannesa Mdee: Sipendi kupika

Vannesa Mdee: Sipendi kupika

watu wamejaa miwivu tu. ooh hataolewa! kwani kuolewa ndio kuishi? watanzania sijui tumelogwa na nani?

Yaani Demba umenichimba nafsini. Mi nashangaa huu utumwa na myth za kuolewa sijui kupendwa eti credit. Jamani! So kupendwa nako kumebandikizwa (pegged) na upishi? Ndio maana watu wanang'ang'ania majikoni ili iwe rahisi hata kuweka limbwata! ( am scribbling this with a tear in my rib.. tehe).. Sawa kupika , labda ni vyema but sio bima ya ndoa wala mapenzi.
Na hata hivyo Vee kasema hapendi sio hawezi.
Na still, hata kama hapendi, ni choice yake. Fikra mgando tuziache.
Mbona zamaaaaani hizo za Ugagagigikoko, mwanamke aliyeweza kutembea vijiji nane kwenda ukweni kwa spidi sawa na mumewe au hata anaenda mwenyewe tu kusalimia ndie aliekuwa akionekana anafaa kuoa.
Leo nani anatembea na mmejikoki na vi -IST na viFunCargo vyenu?

Mbona mnanunua nyanya supermarket, hamlimi uani kwenu?
Wengine hadi mchicha mnanunua Shopperz kwanini usilime hata kwenye kigunia ukakijaza mchanga kama huna ua wa kuweka tuta!
Tusidanganyane wala kupelekeshana hapa na mawazo binafsi.
Pika kama unapenda , paka ina kama unapenda, piga pasi kama unapenda, tembea kwa mguu kwenda kazini kama unapenda. Vinginevyo, maisha ni yako, na chaguo ni lako.
Huwezi jua miaka mia ijayo hata kumeza mate itakuwa ni option maana kutakuwa na gadgets pia au watu mbadala wa kukumezea mate ili wewe ufanye mengine.
Jioni njema
 
aisee kama hapend sawa, ila kama hajui bas ni kilema cha maisha.. take away mpaka lini? had chai atachukua take away
 
Where are those harsh words coming from?, Excuse me Kido try to behave yourself, And Let me remind you, Vannesa she is a Tanzanian woman no matter what kind of life she used to live or whoever she is trying cope with.

Bro, You are soo yesterday and old fashioned like i have never thought, So if someone is living a Good Life, Travelling world wide and living in USA you are already whiteman/woman? What kind of silly thought?.

Dont let your Phucking life being manipulated by white people, we have our own way of life, Trying to live or act like Beyonce or chris brown is extremely non sense, and that Idiot vannesa of yours she is nothing but a looser.

Is vannessa a good example for you to compare with people who have enjoyed and still enjoying life to the fullest?

Ehe binamu ni wewe au? kumbe hata hii lugha ya malkia umo, basi hata we wa kishuaaa
 
Ehe binamu ni wewe au? kumbe hata hii lugha ya malkia umo, basi hata we wa kishuaaa

Sina ushua wowote binamu , mi mnalala hoi tu kama watanzania wengine
 
Nimemuona Jay dee nae anadai hajui kupika mlenda had anapiga smu kuulizia recipes
 
Back
Top Bottom