Vannesa Mdee: Sipendi kupika

Vannesa Mdee: Sipendi kupika

Teh teh ni sawa na mwanamke awe mchafu yaan utachokaaaaaaaa

Uchafu ndio janga kuu, ukiniambia kuchagua kati ya usafi na kupika nitachagua usafi...msosi mara mojamoja tutatoka out au kununua take away aise.
 
Back
Top Bottom