Vannesa Mdee: Sipendi kupika

Vannesa Mdee: Sipendi kupika

unajua hapa watu tunashndwa kuelewana, yeye hapendi kupika sasa sio kesi, na kama vile wewe hupendi kufua inabaki the same thing, halafu mara atashndwa kumpikia mumewe, kwani alikuambia anataka kuolewa?
 
Safari moja huanzisha nyingine, kama hajui kupika kuna mengi pia hajui....hapo Millard atakuwa anamalizana na Housegirls.
 
nanukuuu
"vanesaaa mdee najua huwez ishi kisela"
from young killer msodoki
 
Kwani Vannesa Mdee ndo
nani jamani??????
Au ni mdogo wake na Mheshimiwa Halima Mdee???????
Tuwekeeni picha tumuone huyo ambaye hajui kupika maana ushingae kesho
akiviambia vyombo vya habari kwamba Haendagi Chooni maana
duuuuuh.
Demu mwenyewe ngongoti hana hata nyama ya kushikwa
 
Bina mi mbona sina stress

We hujui kuwa umbea nao unaleta stress? Kutwa kuwaza mambo ya watu, ukisikia wema kajinyea roho juu kutaka kujua ikikuwaje, bhna eeh acha maneno mengi we tafuta nyimbo ujipoze roho wakat naandaa umbea mwingine
 
Akuuu kama umbea we nipe mi nyimbo wasikilize mtaa wa pilii mi nataka umbea tu hapaaa hizo nyimbo namuachia wema asikilizeee
 
Mmh kwa umbea huyu manina zako, aya ngoja nikupe hii ya kulalia, mama ubaya leo uko insta kumekucha, naona leo toka hasubuhi had sasa ivi ninavyokwambia ana post picha yake na alizopiga na mama ndomo tu, yani watu wamemchamba leo wema, wanasema apo tu hajaolewa anashoboka hivyo akiolewa itakuwaje au ndo gear, halaf nasikia mama ndomo nae chakubimbi ana wakwe kibao hatare, ye kila mtu anampokea hana tatizo mama mkwe, jembe lake si rijali bhna linafumua vipwapwiso
 
Hahhhhhhhaaaaaaaaa anadenda gariii huyoooo
 
Mada zingine.............................!
 
Mmh kwa umbea huyu manina zako, aya ngoja nikupe hii ya kulalia, mama ubaya leo uko insta kumekucha, naona leo toka hasubuhi had sasa ivi ninavyokwambia ana post picha yake na alizopiga na mama ndomo tu, yani watu wamemchamba leo wema, wanasema apo tu hajaolewa anashoboka hivyo akiolewa itakuwaje au ndo gear, halaf nasikia mama ndomo nae chakubimbi ana wakwe kibao hatare, ye kila mtu anampokea hana tatizo mama mkwe, jembe lake si rijali bhna linafumua vipwapwiso

nimeona instagram afu binamu kwani esma mdogo wa dai muarabu?
 
Back
Top Bottom