mwanajimbah
Member
- Jun 27, 2012
- 95
- 21
unajua hapa watu tunashndwa kuelewana, yeye hapendi kupika sasa sio kesi, na kama vile wewe hupendi kufua inabaki the same thing, halafu mara atashndwa kumpikia mumewe, kwani alikuambia anataka kuolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demu mwenyewe ngongoti hana hata nyama ya kushikwaKwani Vannesa Mdee ndo
nani jamani??????
Au ni mdogo wake na Mheshimiwa Halima Mdee???????
Tuwekeeni picha tumuone huyo ambaye hajui kupika maana ushingae kesho
akiviambia vyombo vya habari kwamba Haendagi Chooni maana
duuuuuh.
Binamu kazi na dawa, kuna wimbo wa mo music unaitwa bas nenda, ebu utafute usikilize uondoe stress ni mzur sana
We hujui kuwa umbea nao unaleta stress? Kutwa kuwaza mambo ya watu, ukisikia wema kajinyea roho juu kutaka kujua ikikuwaje, bhna eeh acha maneno mengi we tafuta nyimbo ujipoze roho wakat naandaa umbea mwingine
Akuuu kama umbea we nipe mi nyimbo wasikilize mtaa wa pilii mi nataka umbea tu hapaaa hizo nyimbo namuachia wema asikilizeee
Mmh kwa umbea huyu manina zako, aya ngoja nikupe hii ya kulalia, mama ubaya leo uko insta kumekucha, naona leo toka hasubuhi had sasa ivi ninavyokwambia ana post picha yake na alizopiga na mama ndomo tu, yani watu wamemchamba leo wema, wanasema apo tu hajaolewa anashoboka hivyo akiolewa itakuwaje au ndo gear, halaf nasikia mama ndomo nae chakubimbi ana wakwe kibao hatare, ye kila mtu anampokea hana tatizo mama mkwe, jembe lake si rijali bhna linafumua vipwapwiso
Mambo ya kuchambana sijui umbea yeye hata hajui mtoto wa watu, kayumba yenyewe hajui maana yake mmh toto la kishua aka cheusi dawa
Binamu nilimuona ana katako flan hiv kwenye lile tangazo lao kama kaweka kasponji hiviiii
Wewe kwa kweli sikuwezi yani umenifanya nicheke kwa nguvu balaaa
Uje uliangalie hilo tangazo la switch on na kale kagaunii kake
Mmh kwa umbea huyu manina zako, aya ngoja nikupe hii ya kulalia, mama ubaya leo uko insta kumekucha, naona leo toka hasubuhi had sasa ivi ninavyokwambia ana post picha yake na alizopiga na mama ndomo tu, yani watu wamemchamba leo wema, wanasema apo tu hajaolewa anashoboka hivyo akiolewa itakuwaje au ndo gear, halaf nasikia mama ndomo nae chakubimbi ana wakwe kibao hatare, ye kila mtu anampokea hana tatizo mama mkwe, jembe lake si rijali bhna linafumua vipwapwiso
Kale kagauni kablue itabidi nianze kumfatilia nione
Uje uliangalie hilo tangazo la switch on na kale kagaunii kake
mi naliangaliaga ila sijamfatilia shost kwa umbea ni komesha ingekua cheo professa
nimeona instagram afu binamu kwani esma mdogo wa dai muarabu?